Mkataba wa Rwanda na DRC nao una taswira kama Ule wa Chief Mangungo?Utapeli ni uelewa wako binafsi kuwa mdogo kiasi cha kuhisi unaibiwa.
Tatizo la uelewa mzima kuwa mdogo ndio ukuwadi wenyewe huo unaouongelea.
Rwanda na DRC wameshaini mikataba ya kibiashara, hapa bongo tunadanganywa na siasa za waarabu, siasa za kuibiwa mali zetu.
Wenye haki ya kuona wanaibiwa ni DRC nchi tajiri sana yenye kila aina ya madini huko ardhini.
Hii ni Nchi huru, Tanzania,
Usiifananishe Wala kuilinganisha na Nchi yeyote.
Hapa ni Nyikani, Bandari salama, kimbilio la mataifa yote.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen.