Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Hakuna Mkristo wa Hovyo kama wewe usiye na haya mbele ya Mungu kutetea kila jambo la Kipumbavu. Labda ni follower wa Kibwetere.
Jazia nyama mkuu inaweza kuwa habari njema hiiNasikia mama kashalowa!! Usifanye mchezo na nguvu ya umma!!
Hivi wabunge wa CCM wanajisikiaje?
Bora umeibuka ki neutral maana ulishatutia mashakaMAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
Acha matusi! Jibu swali, upo kijiwe gani cha kahawa?
Basi mjibie yupo kijiwe gani cha kahawa?Wefala mbona unafuata fuata wanaume, si kakueleza ukae mbali? Unamtaka?
Basi mjibie yupo kijiwe gani cha kahawa?
Udini.Ukweli ni ukweli, na utabakia kuwa hivyo Dunia ya leo yoyote anayetaka kufanikiwa kiuchumi ni lazima afwate christian western economic system, hata Wachina waliacha Budhism na kufwata western leo hii ni Super power, Japan alifwata western christian economic system, hata Emirates na Gulf States zote waliacha Arabic culture na kufwata western christian economic system na ndio maana leo hii wamefanikiwa, hivyo hata sisi ili tufanikiwe hakuna njia nyingine isipokuwa western christian economic system, huo ni ukweli!
DuhNasikia mama kashalowa!! Usifanye mchezo na nguvu ya umma!!
Hivi wabunge wa CCM wanajisikiaje?
Hawampendi Majaliwa lkn ndiyo mtu pekee sober kwenye hiyo serikali yenu, halafu Majaliwa ana western Christian values, yuko vizuri basi tu!
Magufuli yuko ofisni anachapa kazi na anawasalimia sana, kumbe yuko mortuary, why believe this man?MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
Magufuli yuko ofisni anachapa kazi na anawasalimia sana, kumbe yuko mortuary, why believe this man?MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
https://www.facebook.com/Nasikia mama kashalowa!! Usifanye mchezo na nguvu ya umma!!
Hivi wabunge wa CCM wanajisikiaje?
Kusema kwamba christian values ni bora siyo udini ni ukweli, Dunia nzima inafwata hivyo hata Waarabu wenyewe wanafwata western christian economic system, unafikiri ni kwa nini labda ?
Kaka umetukana Maaskofu! Mahalifa wa mitume!Alafu mkiambiwa mmejaa udini mnabisha!!!
Mie ni mkristo ila wakristo wa nchi hii hasa viongozi wa kanisa katoliki ni wading sana
Una ukristu gani mbwa we,bila Rc unafikiri Babu zako wangekuwa na maisha gani kule kjjn kwako?Alafu mkiambiwa mmejaa udini mnabisha!!!
Mie ni mkristo ila wakristo wa nchi hii hasa viongozi wa kanisa katoliki ni wading sana
MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI
Endelea kumwamini tu Matajario sijui majaliwa! Huyu jamaa ni wa kumpuuza. Tangu atuambie kuwa jiwe yupo na afya tele na anachapa kazi, sitakaa nimwamini tena matarajioHawampendi Majaliwa lkn ndiyo mtu pekee sober kwenye hiyo serikali yenu, halafu Majaliwa ana western Christian values, yuko vizuri basi tu!