Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

Mkataba wa Rwanda na DRC nao una taswira kama Ule wa Chief Mangungo?

Hii ni Nchi huru, Tanzania,

Usiifananishe Wala kuilinganisha na Nchi yeyote.

Hapa ni Nyikani, Bandari salama, kimbilio la mataifa yote.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
 
Vile alisema marehemu hajambo, na sasa muswada umepita bungeni
 
Hawa hawa DP world wamesainia mikataba na Rwanda na DRC, USA na UK.
Unayo hio mikataba??

Labda nikuambie kitu, watu wanaopiga kelele sio hawataki mkataba, hapana concern yao ni hizo terms? Kitu ambacho nimekuuliza je kwa Tanzania tuna aina yeyote ya mkataba wenye terms za namna hio?? We unanitajia mikataba ya nchi zingine.... hii si jibu na si sawa naomba nijibu ni mkataba gani wa masharti kama haya ya DP world??
 
Hawa hawa DP world wamesainia mikataba na Rwanda na DRC, USA na UK.
Na ukisema twende kwakuangalia kwingine amefanyaje CV ya DP WORLD ni mbaya na haitaminiki kwasababu robo tatu ya mikataba yake ni migogoro mitupu na chanzo ni aina ya MoU wanazosainisha host wao
 
Si vibaya tukatiririka kuisaidia nchi yetu, binafsi nilikuwa napendekeza mkataba uwe wa term mbili, first term iwe ni miaka 5, kumpima mwekezaji endapo kama ameliwezesha Taifa kufikia ndoto yake ya mapato mara mbili zaidi ya awali, na kuona kama kutakuwa na changamoto gani hapo katikati kabla ya kusaini mutual agreement ambayo, baada ya kuwa kumesahihisha dosari zozote ndogo ndogo, tukumbuke kila mkataba mara nyingi huwa haukosi dosari, hivyo tuwe kwanza na pre-agreement.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…