Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Gharama za ujenzi tanzania sio kubwa kihivyo ndo maana ata mwananchi wa kawaida anaweza akajenga nyumba nzuri na imara kwa vipato vyetu hivi hivi.Kinachofanyika Kwenye ujenzi wa majengo ya serikali ni urasimu uliowekwa makusudi ili kuneemesha pande zote zitakazohusisha hiyo kazi.Ukiuliza utaambiwa mambo mengi sana na vingereza na visheria vingi ambavyo vyote ni urasimu mtupu.Jengo hilo hilo akilijenga mtu binafsi gharama itakua pungufu mara 2 ya hiyo yako na litakua imara kuliko likijengwa kwa BOQ ya serikali kwasababu ya huo urasimu uliopo.Ata wewe umetuletea bei ya kirasimu kwakuipalilia ionekane ni halali wakati unajua ukiachana na siasa na sanaa hiyo ela ni nyingi sana kwa hicho kibanda.
 
Kama hujui, majengo ya serikali yana viwango vyake.

Kibanda hicho kingekuwa cha tope hata milioni moja hakifiki.
Hiyo kauli yakusema majengo ya serikali ndipo mchawi alipojifichia.Ila sio kweli kwamba majengo ya serikali ni tofauti sana na majengo mengine.tofauti yake iko kwenye makaratasi kupitia sheria na taratibu mbalimbali kuliko ubora wa jengo lenyewe.
 
Hizo ni mbwembwe zakwenye makaratasi.Ndo maana tunaona majengo mengi tu yanapiga nyufa kabla ata ya kumaliza mwaka.
 
Kuna mahali niliona mkataba wa ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa madarasa.mfuko wa cement mmoja ilikua elfu 40,kuupakia kwenye fuso 2500, kuushusha site 2500,ila kodi ya serikali ililipwa kwa bei ya jumla ya 14000 kwa mfuko na Ilikua mifuko 850.na mkataba ulipita ngazi zote ukapata kibali.sasa ukitaka kujua hiyo bei ndo utakutana na vitu kibao vilivyowekwa kitaalamu kumbe badae watu wanakutana wanapongezana.
 
Mwamuzi wa aina ya kibanda kitakacho jengwa ni mwenye mradi(serikali) na Consultant, si mkandarasi.
Eleza tofauti ya mkandarasi na consultant!. Ujue ubishi huu ndo unaoharibu kazi! Waziri Mkuu anazungumzia milioni kumi na moja badala ya kuzungumzia milioni 560 ya v6 ya Mwigulu!. 11,000,000??????????????. Waziri Mkuu badala ya kuuelezea umma wa watanzania ni kwa nini wabunge hawalipi Kodi anakuja na historia za milioni 11 ikiwa ni propaganda ya kusahaulisha watanzania kuhusu tozo kandamizi. Dunia ya Sasa sio ya miaka ya 60's ya kukopy and kupaste nadharia za mnarekani profesa Nurkse (mcgumi na mshauri wa Rais wa marekani by then) kuwa nchi yoyote inasumbuliwa na maadui 3 wa umasikni, maradhi na ujinga. Waziri Mkuu badala ya kutuambia suluhu ya mfumuko wa bei anakuja na historia za kitopiani za kibanda milioni 11?. Hivi kibanda Cha milioni 11 kikaguliwe na waziri Mkuu?. Mtendaji kata atafanyia kazi gani Kama PM anakagua kibanda Cha milioni 11?.
 
Kama hujui tofauti kati ya Consultant na Contractor, basi nyie ndio watu ambao hata nikikueleza hutaweza kuelewa.
In short watu wana Fundi Michael syndrome vichwani mwao.
 
Hiyo kauli yakusema majengo ya serikali ndipo mchawi alipojifichia.Ila sio kweli kwamba majengo ya serikali ni tofauti sana na majengo mengine.tofauti yake iko kwenye makaratasi kupitia sheria na taratibu mbalimbali kuliko ubora wa jengo lenyewe.
Sasa ulitaka nyumba za serikali zijengwe kwa kwa viwango vipi?
 
Pamoja na watu kuelimishwa kuhusu taratibu bado mtu anapinga...
Watu wanafananisha bei za ujenzi wa nyumba zao ambazo hazina taratibu wala standard ya kueleweka
 
Nimemuelewa Jidu La Mabambasi , Kasema kwa viwango vya serikali. Kwa ivo ni Serikali kurekebisha viwango vyake ili mbele ya safari gharama zisiwe kubwa.
Kumbe majaliwa alienda kukagua kwa kufuata viwango vya kitaani ndo maana hakuridhika na gharama. Watu wa ovyo sana nyie, hapo hata kama huna macho acha kutuzubaiaha na michanganuo yako. Huyo vipimo kavtolea wapi hadi atuwekee bati, n.k
 
Pamoja na watu kuelimishwa kuhusu taratibu bado mtu anapinga...
Watu wanafananisha bei za ujenzi wa nyumba zao ambazo hazina taratibu wala standard ya kueleweka
Kama wakandarasi ndo nyie, bora msiwepo tu. Standard ya kueleweka kwenye upuuzi kabisa!! Aliyechanganua kafika na kuhakiki alivyovitaja vipo huko vyote? Eti bei ya dar!! Unataka kusema mawe, au tofali bei ya dar ni rahisi kuliko tabora?
 
Nyie watu wajinga wajinga mbona hamuendi SGR na JNHPP Rufiji nako mkatoe maoni yenu?
 
Hakuna kitu hapo ila kutaka kuhalalisha matumizi mabaya ya fedha ya umma. Hakuna mtu binafsi anaweza kukubali gharama mil 13 kujenga kibanda kama kile tumeona ila mnataka serikali ndio ikubali kwa sababu ni fedha ya umma.
 
Nyie watu wajinga wajinga mbona hamuendi SGR na JNHPP Rufiji nako mkatoe maoni yenu?
Hujafika kwenye mradi unaanza kututumia pumba humu as if vyote ulivyovitaja umeviona vipo. Injinia wako si angeonesha mchanganuo huo kuliko kutetemeka had Waziri mkuu kuamua adakwe. Ndo maana Miradi mikubwa wanatumia wa nje kumbe wa ndani makopo tu.
 
Nimekuwekea Xcel hiyo tumia kichwa si mdomo kubwabwaja.
Miradi hsijengwi kwa kupiga dimi bali mahesabu.
 
Nashangaa waziri mkuu kushupalia hili suala la kibanda cha mlinzi. Angetolea msimamo wa serekali matumizi ya anasa kama mawazi kujinunulia magari ya Tzs 600 million (kabla ya kodi) huku tukikamuliwa tozo kila kona ingefaa zaidi.
 
Hayo yoyote nichaka la kupiga fedha za walipa Kodi.
Watu msio na akili za kutosha, mmepewa mahesabu ili mupitie na kusahihishaujenzi wa jengo mnalotaka , mmekalia kuchonga kama hamna akili nzuri!
Lete mkadirio yako, nyumba za kerikali hazijengwi kwa maneno matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…