Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Serikali ipi hiyo unayoifanyia kazi? Hamna mahali katika mkataba panaposema vifaa viletwe kwa njia gani. Kinachotakiwa ni kifaa kifike salama, kwa wakati na katika hali ya kutumika. Hapa unashupalia armoured cable ambazo hata hazipo katika hesabu ambayo mtaalam mwenzako ameiweka.

Amandla...
Sasa kama hamna kwanini ujenge hoja ya vifaa vitafikaje site ?

Mimi nilimjibu mtu Alie leta suala la Armoured Cable akasema mita 100. Kwahiyo hapa naongelea jambo ninalo lijua ndiyo maana sijaongea kubusu matofali Wala Cement sababu sina ujuzi navyo.
 
Kwa vigezo vya kiserikali vinakubalika. Hoja hapa ingekuwa jee vigezo vimezingatiwa kwa kufuata masharti ya ujenzi wa majengo ya Serikali?
Vigezo vya kiserikali vinatakaje ? Na kwa kipi hizo gharama zikubalike wakati zinaenda kinyume na uhalisia.
 
Hapa najadaliana na mtu ambaye hajui haya mambo. Mimi nimefanya kazi na Serikali na nafanya kazi za Watu binafsi na siyo nyumba binafsi.

Nipe Gharama ya kutoa Armoured Cable kutoka Kiwandani mpaka Uyui, Armoured Cable ya 100m ujue si mzigo mkubwa ? Sasa utaniambia sharti ni usafirishe kwa ndege au ?
Unaongea kama fundi na sio msimamizi. Mbaya zaidi fundi umeme. Hauna picha ya mradi mzima. Fundi umeme siku zote wanakuwa sehemu ndogo ya mradi na kamwe hawasimamii mradi mzima unaohusu jengo.

Sijawahi kufanya kazi kama fundi umeme.
 
Sasa kama hamna kwanini ujenge hoja ya vifaa vitafikaje site ?

Mimi nilimjibu mtu Alie leta suala la Armoured Cable akasema mita 100. Kwahiyo hapa naongelea jambo ninalo lijua ndiyo maana sijaongea kubusu matofali Wala Cement sababu sina ujuzi navyo.
Kwa sababu umezungumzia upigaji na ukazungumzia gharama za kifaa bila kuweka gharama za kukifikisha kwenye eneo. Na ulileta hii hoja yako kutaka kutuaminisha kuwa kuna upigaji katika mradi mzima kutokana na gharama ya armoured cable kuwa tofauti na unavyojua.

Amandla...
 
Kiuhalisia nimekuonyesha na number nimekuwekea mfano tu kwenye umeme, hapo kibanda hicho kitategemea umeme kutokana na miundo mbinu iliyo wekwa kwenye hayo majengo makubwa.

Standard za kimataifa katika selection wa vifaa, kumbuka naongelea mambo ya umeme. Siongelei siasa za uchumia tumbo.
Standard zipi hizo? Taasisi gani ya kimataifa inaweka standards hizo ambazo zinalenga dunia nzima? Na hua tunazungumzia specifications na sio selections. Kwenye majengo ya serikali viwango katika masuala ya umeme vinawekwa na Temesa.

Sasa unawezaje kufanya selections pasi na Specifications, maana take Specifications ipo ndani ya Selections.

Shida unaongelea au ushakariri tu "Specifications" basi.

La Standard liko maarufu sana, Sina haha ya kulielezea hapa.
 
Kwa sababu umezungumzia upigaji na ukazungumzia gharama za kifaa bila kuweka gharama za kukifikisha kwenye eneo. Na ulileta hii hoja yako kutaka kutuaminisha kuwa kuna upigaji katika mradi mzima kutokana na gharama ya armoured cable kuwa tofauti na unavyojua.

Amandla...
Nimekuuliza Armoured Cable inafika Uyui kwa Bei gani ?

Upigaji upo pale pale. Huwezi kujenga hicho kibanda kwa milioni 11. Mimi nikagusia tu ishu ya umeme.
 
Sijibu maswali ya kipuuzi.
Unazungumzia ishu ambayo wala haikuhusishwa kwenye gharama za mradi. Utasemaji mradi hauwezi kugharimu milioni 11 kwa kutolea mfano kitu ambacho hata kwenye mradi hakipo?

Sasa ulikuwa una Pinga Nini huko nyuma ?

Sasa hicho kibanda kinachukua bati za IT4 38 ?
 
Back
Top Bottom