Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
kwa hiyo una diploma ya electrical installation?Huko nimepita.
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo una diploma ya electrical installation?Huko nimepita.
Si swali la msingi katika hii mada. Jua kwamba haya mambo Nina ujuzi nayo na hicho kibanda hakiwezi kujengwa kwa hiyo gharama huu ndiyo uhalisia.kwa hiyo una diploma ya electrical installation?
Amandla...
Umekiri utaalamu wako ni katika masuala ya armoured cable ( ambayo haipo katika mradi) tu lakini unataka kutuaminisha kuwa unaweza kukisia gharama ya jengo zima!Nimeandika kiswahili kirahisi sana.
Ni swali la msingi kwa sababu ulipozungumzia tu Diploma ya Electrical Installation na viwango vya selection ya vifaa vya umeme ikatia shaka katika huu utaalam unaojisifia.Si swali la msingi katika hii mada. Jua kwamba haya mambo Nina ujuzi nayo na hicho kibanda hakiwezi kujengwa kwa hiyo gharama huu ndiyo uhalisia.
Ukiona mtu anapiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu ujue kuna shida hapo.View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
Na uzuri picha ya kibanda husika na finishing yake imeonyeshwa. Kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalamu ni utotoWengi hamjui namna gharama za ujenzi unavyojengwa ili kupata gharama halisi, yeye ameweka data mezani wengine wanaleta porojo.
Mtoa mada bado hujaweka system ya maji taka... Iwapo majitaka ya kutoka kwenye kibanda hadi eneo ambalo ni centralized wa ajili ya majengo yote...hivyo kibanda kinaweza kufikia gharama ya TZS 16,000,000.
Wengi mnapenda kuweka vitu kienyeji bila kufuata plan halafu baadae mnawalaumu tena wataalam. Waulize timu ya wanasema gharama ni juu Kama wanajua Bei ya PVC Pipe class C ya plasco ya nchi 4 ni kiasi gani
Kwahiyo mkuu ingekuwa unajenga nyumba yako ungetumia mill 11, tuache unafiki ingekuwa hivi hakuna mtanzania ambae angejenga kama stoo tu ni mill 11 hiyo nyumb ya vyumba vitatu si balaa!!!!View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
Ujenzi wa nyumba za serikali una viwango vilivyowekwa rasmi.Kwahiyo mkuu ingekuwa unajenga nyumba yako ungetumia mill 11, tuache unafiki ingekuwa hivi hakuna mtanzania ambae angejenga kama stoo tu ni mill 11 hiyo nyumb ya vyumba vitatu si balaa!!!!
Wenye akili wata liona hili jibu, wasio na akili ndio hivyo tena.Nenda kamsaidie mwizi mwenzio kujibu PCCB
Wapi nimeongelea mambo ya Diploma ? Kweli wewe fundi Mchundo.Ni swali la msingi kwa sababu ulipozungumzia tu Diploma ya Electrical Installation na viwango vya selection ya vifaa vya umeme ikatia shaka katika huu utaalam unaojisifia.
Inawezekana unafanya biashara ya ukandarasi wa umeme lakini utaalam hauna. Kwa mfano madaktari wengi tu ni makandarasi kwa hiyo si kitu cha kushangaza.
Amandla...
Hivi unajua maana yakujenga kwa force akaunti? Lielewe hilo kwanza ndipo uje na michanganuo yakoView attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
Achana naye huyoNjoo nikupe laki saba ujenge na kunikabidhi kibanda kama hicho mkuu! Otherwise usiongee usivovijua!
Hata ukijenga kwa kutumia wafungwa, quantities ni zile zile.Hivi unajua maana yakujenga kwa force akaunti? Lielewe hilo kwanza ndipo uje na michanganuo yako
Ha ha ha!Na bado cha juu 10%