Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Si swali la msingi katika hii mada. Jua kwamba haya mambo Nina ujuzi nayo na hicho kibanda hakiwezi kujengwa kwa hiyo gharama huu ndiyo uhalisia.
Ni swali la msingi kwa sababu ulipozungumzia tu Diploma ya Electrical Installation na viwango vya selection ya vifaa vya umeme ikatia shaka katika huu utaalam unaojisifia.
Inawezekana unafanya biashara ya ukandarasi wa umeme lakini utaalam hauna. Kwa mfano madaktari wengi tu ni makandarasi kwa hiyo si kitu cha kushangaza.

Amandla...
 
Ukiona mtu anapiga kiwi nyeusi kichwani mwake tu ujue kuna shida hapo.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na uzuri picha ya kibanda husika na finishing yake imeonyeshwa. Kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalamu ni utoto

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hizo gharama za serikali za ujenzi ifike wakati zirejewe.., mimi kama mmoja wa walipa kodi nadhani we can do better than folking out 11m kwa kibanda cha mlinzi.., hence wahandisi wetu na wewe lichukueni hili mkajifikirie ni vipi mnaweza kushusha gharama !!!!

Na hio ni Veta kwanini hio tender wasipewe hao hao wanafunzi na kwa kutumia materials zinazowazunguka ?!!! Ifike wakati tuache kufanya kazi kwa mazoea
 
kwani wao walikuwa hawaandiki?
Je ni kweli hesabu zako ndo walizopiga wao
 
Fedha za serikali zinafujwa mno kwenye hii sekta ya ujenzi. Upotevu huu uko na kwa watu binafsi wanao jenga. Angalau basi watu binafsi wachukue hatua kudhibiti wizi kwenye miradi yao ya ujenzi. Kinacho sikitisha ni wengi wa hawa watu binafsi nao hawajui huu upotevu. Hali hii imekuwa sehemu ya maisha kujenga nyumba moja kwa gharama ya nyumba mbili hadi tatu.
 
Kwahiyo mkuu ingekuwa unajenga nyumba yako ungetumia mill 11, tuache unafiki ingekuwa hivi hakuna mtanzania ambae angejenga kama stoo tu ni mill 11 hiyo nyumb ya vyumba vitatu si balaa!!!!
 
Kwahiyo mkuu ingekuwa unajenga nyumba yako ungetumia mill 11, tuache unafiki ingekuwa hivi hakuna mtanzania ambae angejenga kama stoo tu ni mill 11 hiyo nyumb ya vyumba vitatu si balaa!!!!
Ujenzi wa nyumba za serikali una viwango vilivyowekwa rasmi.
Guard house kwangu wala hsiwexi kuwepo, tuelewe msingi huo kwanze.
 
Wapi nimeongelea mambo ya Diploma ? Kweli wewe fundi Mchundo.

Kingine Jenga hoja, maana huna hoja mpaka muda huu, unaulizia elimu za wat au kosoa nilichokiandika.
 
Hivi unajua maana yakujenga kwa force akaunti? Lielewe hilo kwanza ndipo uje na michanganuo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…