Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Wakuu

Waziri mkuu alikuwa anaangalia value for money!
Hata mpige hesabu kiasi gani kile kibanda hakiendani na thamani ya milion 11!

Sio kwamba aina ya kibanda kilichotakiwa kujengwa ndio kinaendana na kiwango cha Fedha hiyo bali kibanda kilichojengwa hakiendani na milion 11.

Hilo lipo wazi KWA mwenye akili timamu!
 
Wewe msomi.
 
Kumbuka hiyo bati ni IT4, na bei yake si chini ya 17,000 kwa mita Jijini DSM.
Kuifikisha Tabora utajiju.
 
Vaue for money ni tamko la wanasiasa wengi.
Watupe value for money kwa miradi ya mabilioni, SGR , Stiglaz Hydropower plant n.k.
 
Wakuu

Waziri mkuu alikuwa anaangalia value for money!
Hata mpige hesabu kiasi gani kile kibanda hakiendani na thamani ya milion 11!
Inawezekana kibanda kimejengwa kwa shilingi milioni 4. Lakini taratibu za kukijenga ndiyo zimegharimu shilingi milioni 7.

Hivi unadhani ujenzi wa maghorofa ni gharama sana, HAPANA. Ila taratibu za kufuata ili ghorofa lijengwe ndiyo huongeza gharama za ujenzi. Magufuli alipokuwa Rais alijenga majengo mengi kwa kutumia TBA na JKT na gharama zikawa chini sana kwa kuwa alielekeza taratibu za ujenzi zilizopo zisifuatwe.
 
Si swali la msingi katika hii mada. Jua kwamba haya mambo Nina ujuzi nayo na hicho kibanda hakiwezi kujengwa kwa hiyo gharama huu ndiyo uhalisia.
Kwa nini unaandikia mate?
Weka mahesabu yako hapa, kama nilivyoweka, tuyachambue.
Wanasiasa wanaua fani ya ujenzi.
 
Mafundi si walewale waliosoma vyuo vyetu na wana certificate au diploma in electrical installation. Si ndio haohao wanatumika na raia.

Ulicholenga hapa ni kwamba serikali ina watu na vifaa vyake special ambavyo ni classified ama nini

Wapi nimeongelea mambo ya Diploma ? Kweli wewe fundi Mchundo.

Kingine Jenga hoja, maana huna hoja mpaka muda huu, unaulizia elimu za wat au kosoa nilichokiandika.
Nilikuonea kuhusu elimu. Lakini bado ulichoandika hakina maana katika mada hii.

Amandla...
 
Kwa nini unaandikia mate?
Weka mahesabu yako hapa, kama nilivyoweka, tuyachambue.
Wanasiasa wanaua fani ya ujenzi.
Niweke mara ngapi ?

Kibanda Cha mlinzi kinachukua bati 38 ?

Kingine hoja si kuiweka hesabu hoja hizo hesabu Zina uhalisia ?!
 
Bati 38 kibanda Cha mlinzi?
 
Iko siku Tucta wakiitisha mandamano nchi mzima kitaeleka.Mtu unakatwa PAYE,Tozo lukuki halafu anakuja mpuuzi anajengea kibanda Cha kuku kwa 11 million .try to be serious aiseee.
 
Kwamba sie hatujeng wee ndo unajenga na ndo unajua sana au.. kile kibanda kwa haraka haraka ni kama 6m tena hapo nmefanya maximum nna kibanda kizur kulikk kile kipo hapo shamban kiwangwa maanina.. anakaa shamba boy. Sema sjaweka aluminium na bat ile kama ya hicho cha majaliwa ila hata ningeweka kama hko cha majaliwa hakizid 6m... Kawadanganyen wajinga wajinga huko
 
Ni sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…