Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Populist........Cheap politics...Huyu Majaliwa hafai kabisa. Hiyo bei ni sawa kabisa kwa mjengo wenye viwango. Kama anataka madarasa ya shule za KATA hiyo nyumba unaweza kuijenga hata kwa laki 3. Ila ikichukuliwa na upepo usimuulize mjengaji.View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
UPDATE:
Katika makadirio wadau wamenitonya yafautayo
1. Hapo pembeni kuna kichumba ambacho waafikiri ni choo, gharama za kuvuta maji, choo chenyewe na wall tiles inaweza kuongeza gharama kwa arond 1.0 million
2.Kuna floor tiles amnazo sijazigsa kabisa, gharama ambayo tiles kwa nyuma nzima na ngazi inaweza kufikia 1.2million
Hivyo kazi hii ya nyongeza ni Tshs 2,2 million n jumla kuu kwa kazi ya kibanda=Tshs 15,845,980.00
OMBI
Ofisi ya Waziri Mkuu wakimaliza uchunguzi wao wa kitaalam , watuwekee hadharani makadirio yao kwa viwango vya kazi husika ya kibanda cha VETA Tabora(kwa kulinganisha tu)
Kuna BOQ hapo au ujinga wa mtu mwizi!Huna hoja , huna facts, na hujui unachoongea.
Zoezi la kupitia BOQ ilyowekwa hapa limekushinda, ungana na wanasiasa wasiojua kitu.
Mfagizi wa choo, usiingilie mambo ya watu wenye akili.Kuna BOQ hapo au ujinga wa mtu mwizi!
Bila shaka unamsema baba yako aliyekuwa scavenger pale shuleni kwetu!Mfagizi wa choo, usiingilie mambo ya watu wenye akili.
Hujajenga ndugu yangu, nakuonea huruma. Ushauri: Utapotaka kujenga, usimpe pesa ndugu yako akusimamie mjengo- mtagombana na kumuita mwizi. Kajenge mwenyewe mpaka finishing kwa viwango ndio urudi hapa JF utoe maoni.Kuna BOQ hapo au ujinga wa mtu mwizi!
Kasafishe choo , mambo ya ujenzi waachie wenyeweBila shaka unamsema baba yako aliyekuwa scavenger pale shuleni kwetu!
Kumbe na wewe ni mpumbavu! Unataka mpaka nikuweke ndani unipakulie ndiyo ujue nina jengo!Hujajenga ndugu yangu, nakuonea huruma. Ushauri: Utapotaka kujenga, usimpe pesa ndugu yako akusimamie mjengo- mtagombana na kumuita mwizi. Kajenge mwenyewe mpaka finishing kwa viwango ndio urudi hapa JF utoe maoni.
Mkuu kuna mijitu mijinga humu mtandaoni, hata unashangaa anajuaje kuwasha mtandao maana vichwani hakuna kituHujajenga ndugu yangu, nakuonea huruma. Ushauri: Utapotaka kujenga, usimpe pesa ndugu yako akusimamie mjengo- mtagombana na kumuita mwizi. Kajenge mwenyewe mpaka finishing kwa viwango ndio urudi hapa JF utoe maoni.
Kamsaidie baba yako kung'arisha vyoo vya shule acha kujitoa ufahamu!Kasafishe choo , mambo ya ujenzi waachie wenyewe
Si ni kwa sababu umeshikiwa akili za kipumbavu!Mkuu kuna mijitu mijinga humu mtandaoni, hata unashangaa anajuaje kuwasha mtandao maana vichwani hakuna kitu
Sizungumzii jengo bali jengo la viwango.Kumbe na wewe ni mpumbavu! Unataka mpaka nikuweke ndani unipakulie ndiyo ujue nina jengo!
Mkuu usijisumbue kubishana na mijitu yenye uzoefu wa kuishi viwango vya nyumba za mbavu za mbwa.Sizungumzii jengo bali jengo la viwango.
Kibaya zaidi huyu wanayemzungumzia sio mkandarasi bali ni mwalimu aliyebebeshwa jukumu la kusimamia mradi chini ya mfumo mbovu wa fosi akaunti!Ukiona mwanasiasa anakimbilia kufanya kazi na takukuru wakati vyombo vya kitaalam vipo, ujue ana matatizo ya kimsingi katika uelewa na good governace.
Takukuru si wataalam wa ujenzi.
Simple logic inatka kujua wanaohusika na project nzima hadi mradi ukajengwa ni akina nani na uhusika wao katika design ya project, costing, tendering, award, project supervision mpaka inspection na project acceptance.
Anatokea mtu asiyeelewa mlolongo huo mwishoni kabisa wa mradi na kumsweka ndani mkandarasi, kwa vile ana uwezo huo.
Okay, unamuweka ndani mtu, ni kwa sheria ipi?
Au kwa vile mtu ana madaraka kufanya hivyo na kuyatumia vibaya!
Hii miradi midogo inawaumbua viongozi wetu katika uelewa wa miradi inavyoasisiwa.
Pathetic!
Na unapozungumzia viwango vya jengo pia angalia matumizi yake! Viwango vya jengo viendane na viwango vya matumizi!Sizungumzii jengo bali jengo la viwango.
Naomba maelezo ya gharama za hapo juu, hicho kibanda ndio kinatumia 650,000 kwenye electrical wiring na kikatumia 445,000 kwenye rangi?
Maswali yameulizwa Tena mengi kuhusu choo.Amekiri wapi? Liliulizwa swali katika kadamnasi kuhusu bei ya hicho choo na mtu akasema 40000. Hamna mahali ambapo huyo unayemuita mjenzi amekiri chochote.
Amandla...
Tatizo lako umekurupuka.Watu msio na akili za kutosha, mmepewa mahesabu ili mupitie na kusahihishaujenzi wa jengo mnalotaka , mmekalia kuchonga kama hamna akili nzuri!
Lete mkadirio yako, nyumba za kerikali hazijengwi kwa maneno matupu.
Asante kwa estimate ya gharama za Nyumba ya mlinzi. Kwa kweli bila estimate unaweza kusema ndivyo sivyo.View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.
Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.
Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!
Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.
Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0
Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.
Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.
KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA S.No ITEM UNITS QUANTITY UNIT COST COST REMARKS 1Kuset kibanda na ngazi zote sum 20,000 2Kuchimba misingi m3 3.812,000 45,600 3Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi 0.2m thick m3 0.45180,000 81,000 4Tofali za kulaza misingi m2 2137,000 777,000 5Tofali ngazi za kupandia kibanda m2 3.637,000 133,200 6kuujaza udongo wa murram m3 27.515,000 412,500 na kushindilia 7kuweka mawe ndani ya msingi na ngazi m3 4.535,000 157,500 8Kumwaga zege la jamvi 150mm m3 4.5180,000 810,000 9Kuset kuta za nyumba, tofali za m2 13.525,000 337,500 kusimama 150mm mpaka beam soffit 10Shuttering ya ring beam m2 4.626,000 119,600 11Kukunja na kuweka nondo kg 984,000 392,000 12Kumwaga zege la beam m3 1.25180,000 225,000 13Tofali za level mtambaa panya m2 13.4525,000 336,250 na gable 14Kufunga wall plate na truss, na nos 51,500 7,500 15Kufunga fascia board nyumba nzima m 151,500 22,500 16Kufunga purlins 50x50mm m 1208,000 960,000 17Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4m nos 3865,000 2,470,000 18Kupiga brandering ya ceiling m2 254,000 100,000 19Kufix gypsum board ya ceiling m2 256,800 170,000 20Kujaza uwazi kati ya bati na ukuta sum 45,000 21Fufunga bomba za kupitisha sum 50,000 Umeme na box za switches 22Kufunga frame za madirisha nos 2150,000 300,000 23Kufunga frame za milango nos 3150,000 450,000 24Kupiga render za kuta nje na ndani m2 148.52,000 297,000 25Kupiga plaster nje na ndani m2 148.52,000 297,000 26Kufunga madirisha ya aluminium nos 2240,000 480,000 27Kufunga milango mbao ya mkongo nos 3260,000 780,000 28Electrical wiring na kufunga switch sum 650,000 29Kupiga rangi nje na ndani m2 148.53,000 445,500 TOTAL 11,371,650 NB 1Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM 2Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 , 3Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00
UPDATE:
Katika makadirio wadau wamenitonya yafautayo
1. Hapo pembeni kuna kichumba ambacho waafikiri ni choo, gharama za kuvuta maji, choo chenyewe na wall tiles inaweza kuongeza gharama kwa arond 1.0 million
2.Kuna floor tiles amnazo sijazigsa kabisa, gharama ambayo tiles kwa nyuma nzima na ngazi inaweza kufikia 1.2million
Hivyo kazi hii ya nyongeza ni Tshs 2,2 million n jumla kuu kwa kazi ya kibanda=Tshs 15,845,980.00
OMBI
Ofisi ya Waziri Mkuu wakimaliza uchunguzi wao wa kitaalam , watuwekee hadharani makadirio yao kwa viwango vya kazi husika ya kibanda cha VETA Tabora(kwa kulinganisha tu)
Nikweli swali limeuliukizwa kwenye kadanamnasi jibu jibu limetokewa ni , Asian. Je Asian inauzwa 300,000Amekiri wapi? Liliulizwa swali katika kadamnasi kuhusu bei ya hicho choo na mtu akasema 40000. Hamna mahali ambapo huyo unayemuita mjenzi amekiri chochote.
Amandla...