mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Mhh, mbona umejibu kisiasa sana badala ya kiuchumi
Yaani sababu ya kupanda kwa cement iwe ni kiwanda kujengwa awamu ya J.Kikwete?
Kwamba JPM amechukizwa na hilo ndio atukomoe consumers wadogo?
I hope kuna sababu critical than this
Mhh, mbona umejibu kisiasa sana badala ya kiuchumi
Yaani sababu ya kupanda kwa cement iwe ni kiwanda kujengwa awamu ya J.Kikwete?
Kwamba JPM amechukizwa na hilo ndio atukomoe consumers wadogo?
I hope kuna sababu critical than this
Kweli sijui Mkuu, hebu funguka kidogo tupate darasa hapa tujue mambo, sina idea kuhusu hiyo brand ya PakistanInawezekana ukawa haujui.unajua Ile cement ya Pakistan alikuwa anaileta Nani?.
Kipindi Cha kikwete ulikuwepo alipoingia wa chato ikapotea?
Kweli sijui Mkuu, hebu funguka kidogo tupate darasa hapa tujue mambo, sina idea kuhusu hiyo brand ya Pakistan
Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Tatizo ni hofu ya uchaguzi wala hakuna kingine, baada ya miezi kadhaa hali itakaa sawa
Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?
Kwahiyo awamu hii ilipoanza wakam block?Alikuwa ridhwan kikwete
Kwahiyo awamu hii ilipoanza wakam block?
Usikatae mkuu suluhu yake lazima i base kwenye uchumi na sio kusaka cement kwa mitutu,wanaweza pia wakaongeza kodi kwa cement inayozalishwa ndani kwa misingi ya export ili ku discourage isitoke nje jambo ambalo sio zuri kwani litafukuza wawekezaji,chamsingi hapo eidha wazungumze na dangote ama iruhusiwe cement kiasi kutoka nje kuongeza supplyKwenye hili suala la cement HAKUNA haja ya kutumia kanuni za kiuchumi.
Kama gharama za uzalishaji zimepanda wangeongeza Bei Ila cement ipatikane.
Lakini cement haijapanda Bei na HAMNAA.kila siku wanazalisha lakini Kama hao twiga cement yao wanapeleka Rwanda na kwenye hyo miradi mikubwa.
Viwanda vingine vilivyobaki Sijui cement zao wanapeleka wapi.
Bw Kilatha usituabishe wachumi na hoja zako za hovyohovyo,kukariri terminology zakiuchumi hazikufanyi uwe mzuri kwenye uchumi,nashauri tulia usome comment za wengine.Hii issue yako kutaka faida kubwa ni kituko.Lol, haya mkuu.
Hao hao wakiongezewa saruji kutoka nje wanakuja tena kulalamika hoo mara serikali inaua viwanda vya kwa kuruhusu saruji kutoka njeNi ujinga wa serikali yenu ya hovyo, unazuia uingizwaji wa simenti kutoka nchi za nje ili kulinda viwanda vya ndani.... wakati huo viwanda visitambue ulinzi uliowapa!
Usikatae mkuu suluhu yake lazima i base kwenye uchumi na sio kusaka cement kwa mitutu,wanaweza pia wakaongeza kodi kwa cement inayozalishwa ndani kwa misingi ya export ili ku discourage isitoke nje jambo ambalo sio zuri kwani litafukuza wawekezaji,chamsingi hapo eidha wazungumze na dangote ama iruhusiwe cement kiasi kutoka nje kuongeza supply
Kwa ivyo jibu lako la kiuchumi ni kwamba cement lazima iagizwe kutoka nje?Issue za kiuchumi zinachangiwa kiuchumi,ukijibu tu kama uko kwenye vijiwe vya kahawa wachumi tuna wa zoom tu.Wamehangaika na sukari kikowapi mbona wametulia?
Hakuna politics kwenye economics PM akitumia nguvu hatapata suluhu kamwe hapo shida demand ni kubwa kuliko supply na ili kuondoa tatizo lazima supply iongezeke.
Kwa haraka lazima cement iruhusiwe kutoka nje kwani kuongeza uwezo wa viwanda vya ndani ni process si jambo rahisi ama kama dangote kasitisha uzalishaji wakae nae chini watatue changamoto zake aanze kuzalisha kinyume chake hawatafanikiwa.
Ugonjwa wako ni kukariri vimisamiati vya kiuchumi kunakuongopea,unawadharilisha waliokufundisha na kuthibitisha kwamba wewe ni graduate wa kada ya uchumi.Hivi ni nani hapendi kupandisha bei ya bidhaa yoyote ili apate faida?Kwa ivyo jibu lako la kiuchumi ni kwamba cement lazima iagizwe kutoka nje?
Kwa akili yako ‘lead time’ ya kuagiza cement hadi ifike Tanzania na Dangote akianza production week ijayo who will reach the market quicker?