Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Degree haina kazi ya kujiajiri, or else itabidi uwe na mtaji mkubwa sana.Hivi degree ni kitu gani kwani mtu anamaliza na hajui chochote hadi aelekezwe tena.
Waziri Mkuu yuko sawa kama hawataki wakae nyumbani wazeeke na degree zao.