Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Na VETA ilivyoanzishwa ile idea ilitoka ujerumani..na VETA Imesaidia sana
Wataalam wetu wengi tz hawana technical skills kabisa
Injinia mzima hawezi hata ku operate forklift nk
Ila mbona mainjinia enzi za mwalimu waliyosomo moshitec nk
Walikuwa vzr sana ila hawa wa sasa sjui ni elimu kuchezewa au

Ova
Elimu kuchezewa ! Ni kweli kabisa !
 
Kwa nafasi aliyonayo waziri mkuu hakupaswa kutoa kauli kama hii.
Kauli hii inaonyesha picha kubwa kuwa;

1. Serikali ya CCM imeishiwa kabisa pumzi kuhusu kutatua tatizo la ajira kwa wasomi waliozagaa mitaani na vyeti.

2. Elimu ya chuo kikuu kwa sasa kwa sehemu kubwa haina maana yoyote kuweza kumkomboa kijana kiuchumi na kijamii.

3. Kijana wa kitanzania anayepambana kusoma mpaka kuhitimu chuo kikuu basi anapoteza tu muda, nguvu, akili na rasimali, maana elimu hiyo haina maarifa ya kuweza kumkomboa kimaisha.
Kuna watu wanajuta kusoma Bachelor Degree, wanaona kama walienda kupoteza muda tu...ni bora walipomaliza FM IV wangeingia VETA
 
Habari!

Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.

Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.

Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?

Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.

NJE YA MADA

Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa Ilala Dar es salaam nawasubiri.

Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
1741942227410.jpg
 
Habari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.

NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Hivi (super black dyes) PIKO nazo zinatengenezwa VETA?
 
Waziri Mkuu ni mjinga sana
 
Mbona ni kauli yenye kujenga, sema watu kutaka makubwa, na ni kwakuwa hiki ni kipindi cha uchaguzi basi kila kauli itajadiliwa... Simple kama unaoana umesoma na bado degree haijaweza kukutoa ulipo...

Piga kozi za veta kuna mawili aidha ujiajiri ama uajiriwe kwa level ya chini... Sababu huku level ya chini possibility ya kupata ajira ni kubwa kuliko level ya juu

We unahisi ukisoma kozi ya ufundi umeme, huwezi pata hata kazi ya kupiga wiring kwenye majengo?

au kozi ya kuchomelea, huwezi pata fursa ya kutengeneza mageti?
 
Ukimaliza degree unajisajili PSRS hapo huwezi tena kuajirika kwa astashahada au stashahada labda kwa mchina ukalipwe laki mbili na nusu.
Mfumo wa PSRS hauwezi kumuajiri mtu kwa low entry level huku profile yake iko juu. Au wewe utakubali ukimaliza elimu ya degree ya miaka 3 au 4 usijisajili PSRS badala yake usubiri umalize kozi ya miaka 2 au 3 ya VETA ndipo ujisajili kwa level ya chini?
Yaani umalize degree na uisahau kabisa
 
Wanajamvi Heshima kwenu,

Kwako Mh Dr Samia Suluhu Hassan Rais wetu mpendwa.

Nakuandikia kwa heshima na taadhima kuhusu kauli tata, aliyoitoa waziri Mkuu Majaliwa huko Tabora, kuwataka vijana wasomi wa vyuo vikuu kujiunga na vyuo vya VETA Kusomea ufundi wa fani mbalimbali.

Kwa upeo wangu wa kutafakari mambo naona Waziri Mkuu amevuka mstari,kwa kauli aliyoitoa.
Ni kauli

Mosi ya kudharau kada mbalimbali zilizosomewa na vijana chuo KIKUU mpaka kuwataka waziache.

Kada kama uhasibu, uhandisi ,Udaktari, Ujiolojia,ualimu, Procurement kuzitaja chache.

Watu hao juu wametumia muda mwingi,pesa kusoma kidato Cha kwanza mpaka Cha sita, Kisha miaka mitatu mpka minne chuo KIKUU.

Hili ni group kubwa la wanazuoni ambao wapo mtaani hawana ajira,walipokuwa wanasoma walikuwa na malengo yao,

Walijua kabisa VETA zipo, ukweli kuhusu VETA ni kada ya kati ya kawaida iliyokuwa na malengo ya kutoa skills study kwa ajili ya kujiajiri, kwa namna ya pekee watu ambao waliishia darasa la saba zamani, lakini sasa kidato Cha nne, ambao hawakuweza kuendelea na masomo ya juu ili wajiajiri.

Mh Rais mashaka yangu ni kuwa Kuna ombwe kubwa la ajira nchini, safari hii wapiga kura wengi nchini ni vijana, ambao hawana ajira.

Kwa Nini kauli kama hii inatoka kuelekea uchaguzi mkuu?? sio nzuri, itachochea chuki kwa vijana wasio na ajira ambao Bado wana matumaini na serikali Yako.

Kwa namna ilivyo vijana hao wamekuwa underrated, hadhi ya degree za vyuo vikuu ni bure, haina maana, mpaka leo hii vijana hao washauriwe kusomea ufundi🤔🤔🤔

Mwisho Mwishoni natamani Waziri Mkuu ajitafakari, na Mama kama mkuu wa nchi utafakari hii kauli tata, ambayo kwangu mimi kama mtanzania inatosha kwa Waziri Mkuu kukaaa pembeni baada ya Bunge kuvunjwa.

Ni imani yangu ujumbe huu utafika mezani kwako, kwa wewe mwenyewe kusoma, au kupitia wasaidizi wako.

Nandagala One -Mpumalanga
South Africa
 
Ukimaliza degree unajisajili PSRS hapo huwezi tena kuajirika kwa astashahada au stashahada labda kwa mchina ukalipwe laki mbili na nusu.
Mfumo wa PSRS hauwezi kumuajiri mtu kwa low entry level huku profile yake iko juu. Au wewe utakubali ukimaliza elimu ya degree ya miaka 3 au 4 usijisajili PSRS badala yake usubiri umalize kozi ya miaka 2 au 3 ya VETA ndipo ujisajili kwa level ya chini?
Yaani umalize degree na uisahau kabisa
Ajira si serikalini pekee ama taasisi za kiserikali, kuna ajira nje ya serikali na taasisi zake,

Huku nje kuna watu tunawaona hao wa veta wanatengeneza pesa kuliko hao wa degree ambao wanashinda maofisini kwenye viyoyozi.

Mwajiri anachohitaji ni profile yako na ujuzi wako, VETA wanakupa ujuzi hata wa miezi kadhaa ambao auhitaji miaka kukaa darasani, VETA unasoma kwa Vitendo zaidi kuliko nadharia na story za mhadhiri.

Vitu vidogo vinajenga profile pia, binafsi wakati nina elimu ya level ya juu katika harakati za kutafuta kazi ilinibidi nitumie level ya chini ili kujenga profile ambayo ulikuja kusaidia kupata kile nilichokuwa natarajia kwa level ya juu niliyokuwa nayo.

Kama A haijaclick, jaribu B

Sasa wewe subiri A, kumbe kibonyezeo hakijaungwa na mfumo, utaclick hadi vidole viote sugu, huku fursa zinakupita.
 
Habari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.

NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Toka magetoni ,acha akili mgando . Mimi ni CPA, mwajiriwa wa serikali ,pia nimejiajiri(consultant )lakini ni mtaalamu wa rangi na napenda rangi kuliko uhasibu na nilisoma veta.Nakumbuka mmoja ya walimu wangu BUSARA aliniambia unachokifanya nje ya mshahara ndio utajiri ,veta imenisaidia .
 
Hawa watu wameona MPIGA KURA hana madhara kwao,dawa yao ni kuwakataa kwelikweli, wapimane na CHADEMA kwa haki katika chaguzi zijazo.Haiwezekani tatizo la ajira litengenezwe na wao wenyewe, halafu kulitatua wanakua wanazuga.
Hii movement iwe kubwa,tuwakatae after all hakuna usawa katika ulaji wa keki ya taifa,wao na walioko upande wao wanajineemesha tu,wakati sisi maisha ni magumu.
 
Toka magetoni ,acha akili mgando . Mimi ni CPA, mwajiriwa wa serikali ,pia nimejiajiri(consultant )lakini ni mtaalamu wa rangi na napenda rangi kuliko uhasibu na nilisoma veta.Nakumbuka mmoja ya walimu wangu BUSARA aliniambia unachokifanya nje ya mshahara ndio utajiri ,veta imenisaidia .
Wewe ni samia suluhu, acha ubazazi wako.
 
Back
Top Bottom