secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hawa jamaa msipowakemea watasema wahitimu wajiuze.
Sasa mjiulize wa kiume watauza nini?
Sasa mjiulize wa kiume watauza nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuambiwa mkasome VETA na degree zenu ndio povu liwatoke namna hii?
Kwa akili yako unataka kusema Tanzania waliosomea fani mbali mbali wanazo ajira?au wamejiajiri?Toka magetoni ,acha akili mgando . Mimi ni CPA, mwajiriwa wa serikali ,pia nimejiajiri(consultant )lakini ni mtaalamu wa rangi na napenda rangi kuliko uhasibu na nilisoma veta.Nakumbuka mmoja ya walimu wangu BUSARA aliniambia unachokifanya nje ya mshahara ndio utajiri ,veta imenisaidia .
hawawezi sema ujinga kama huo.Hawa jamaa msipowakemea watasema wahitimu wajiuze.
Sasa mjiulize wa kiume watauza nini?
Watu wengi tunaona kuhusu VETA ni kitu kibaya lakini kuna nchi kama China wenzetu ni kawaida sana mtu mmoja kujua vitu viwili au vitatu.Degree ni elimu lakini maendeleo ni kitu kingine.Wapo watu walishafanya hivyo kitambo na wanafurahia kufanya waliyojifunza vetaKassim Majaliwa kiufupi umeshajipotezea heshima na heshima uliyobaki nayo ni ndogo Sana.
Nakushauri Ujifunze kukaa Kimya hakuna faida utaipata baada ya kuwa mropokaji.
Una uhakika gani?hawawezi sema ujinga kama huo.
Kassim Majaliwa ni mpumbavuUna uhakika gani?
Inamaanisha Tanzania haijafikia kiwango cha kuhudumiwa na watu wenye Degree?Mbona ni kauli yenye kujenga, sema watu kutaka makubwa, na ni kwakuwa hiki ni kipindi cha uchaguzi basi kila kauli itajadiliwa... Simple kama unaoana umesoma na bado degree haijaweza kukutoa ulipo...
Piga kozi za veta kuna mawili aidha ujiajiri ama uajiriwe kwa level ya chini... Sababu huku level ya chini possibility ya kupata ajira ni kubwa kuliko level ya juu
We unahisi ukisoma kozi ya ufundi umeme, huwezi pata hata kazi ya kupiga wiring kwenye majengo?
au kozi ya kuchomelea, huwezi pata fursa ya kutengeneza mageti?
Huenda Majaliwa anaona mbali kuliko wanaopinga tuwaze nje ya box.Fikiria miaka kumi mbele itakuwaje.Kuna ubaya gani mtu akiwa na degree sociology,law,engineering kujua utengenezaji au usindikaji wa matunda?Habari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.
NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
We mpumbavu Sana na hauna akili kuna uhakika wa ajira baada ya kutoka VETA ?.Tanzania tuna watu wapumbavu sana......
Kwani kuna ubaya gani ukajiongezea ujuzi na maarifa kama unapata nafasi hiyo....
Kwanini ukae nyumbani ukizunguka na bahasha ilihali kuna uwezekano wa kupiga kashoti kozi na kupata ajira mahali......
Tanzania kadri watu wanavyosoma ndio wanazidi kuwa wajinga.......
Hamna mjinga wa hivo. Nina uhakika asilimia 100. Labda wewe na hatuwezi kukupa nafadi kama hiyo. Labda uwe kiongozi wa familia yako, uwaambie wanao wakajiuze.Una uhakika gani?
Kasome veta ujiajiri acha kulialiaWe mpumbavu Sana na hauna akili kuna uhakika wa ajira baada ya kutoka VETA ?.
punguza pombe za kienyejiHivi degree ni kitu gani kwani mtu anamaliza na hajui chochote hadi aelekezwe tena.
Waziri Mkuu yuko sawa kama hawataki wakae nyumbani wazeeke na degree zao.