Reaction yako kama sio siasa basi ndio Sababu ya vijana wengi wanalalamika kukosa ajira.
Kwenye nchi zilizoendelea Technicians ndio kundi kubwa la watu wenye kipato kikubwa na wenye uwezo wa kumudu hali ya maisha.
Hapa kwetu Tanzania mambo ni tofauti sana, vijana wengi wanaenda shule wakiwa na ndoto za kuajiriwa na si kutengeneza ajira ili kuongeza wigo wa ajira nchini.
Leo hii vijana wengi wa Kitamzania walioamua kuziacha taaluma zao na kwenda kwenye sekta zisizo rasmi ndio tunaowaita mabilionea wa kesho, nenda kaangalie vijana wengi walijiwekeza kwenye Kilimo, ufundi wa magari (hapa nenda kamuangalie Dkt. Toyota) na wengine.
Serikali mara zote imekuwa ikiweka jitihada za kuleta fursa za uwekezaji kama viwanda na huku ndiko kunatengenezwa ajira za kutosha, wasomi wetu leo wameamua kuchagua nini wafanye na nini wasifanye.
Pita hapa uone eneo linalotoa ajira
https://www.yourcareer.gov.au/resources/australian-jobs-report/technicians-and-trade-workers
Kwa kuwa Watanzania tumeamua kuendekeza siasa na kuacha uhalisia hapa tutaona kauli ya PM si kitu, ila gate la utajiri lipo kwenye self skilled. Duaniani kote uwezo wa Serikali kuajiri haufiki hata asilimia 50 ndio maana zinatemgenezwa fursa nyingine, leo Serikali inatoa mikopo ya asilimia kumi kwa ajili ya vijana ili wajiendeleze.
Leo mfano mdogo tu, Tanzania hapa hair dresser na bekers wanatengeneza pesa
Hapa ukisema uendekeze degree uliyonayo ni wazi kabisa utaishia kulaumu tu na wale wenye skills hizi ndio pesa wanatumia kujiendeleza na kutengeneza fedha
Nenda Korea kajifunzeni namna watu wanatajirika na tuache kufanya siasa
kwa kumalizia tupite kwenye link hapa.
Harvard, Stanford MBAs struggling to find jobs: What’s behind the decline?