Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je watoto wake anaweza kuwaambia hivyo?.😄 😄 ukiona hivyo wameona wanafunzi wengi wanaomaliza vyuo vikuu hawana skills 😄
Ova
Mimi nadhani hajakosea Kwani kama una hiyo degree huwezi kusoma certificate ama kitu ambacho hutapata cheti?, (Life learning skills)Waziri mkuu unaongea ujinga as if maana ya elimu tanzania ni almost zero au haipo kabisa?
Unawwzqje kusema wenye degree wakasome VETA na at the same time vyuo vinavyotoa degree bado vipo havijafutwa kama kweli Tanzania degree haina maama tena.
Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu sana na bado kuna vijana wanasema ccm mbele kwa mbele licha ya matusi haya kwenu?
So, studying for 3 years or 4 years getting degree is wastage of time in Twnzania
Karibuni Chadema tupambane
Wanafunzi wa veta wanawazidi wanaosoma vyuo ....kwenye maujuzi tuJe watoto wake anaweza kuwaambia hivyo?.
Serikali inasisitiza mbolea ya minjingu badala ya kusisitiza uchimbaji wa visima maji yawepo in case mvua haipo. Serikali ya kijinga sanaShida sio elimu shida mfumo wa kazi umekuwa si rahisi na ufanisi wa ajira.
Mfano leo watu wana heka zaidi 100 lakini serikali ijawai kuwathamini wala kuwa kingia kifua kwenye mikopo ili walime watafutiwe masoko.
Serikali inavyanzo vingi vya kutafuta ajira.
Mfano mpaka leo ijawai kufikiria uvuvi mkubwa wa samaki bahari ya hindi watu wenye pesa kununua meli kubwa za kuvua.
Serikali ilitakiwa kila mkoa kuwa na barabara za mikoa kuingiliana yani leo ukitaka kwenda mkoa fulani sio lazima upitie mkoa fulani.
Wabongo huwa hawana muda wa kuelewa issues, yeye anaona heading tu na kile wanachozungumza wengine analiunga. Hii ni government statement kabla hujaweka maoni ni vyema ukaielewa.Watu wengi wana OVERTHINKING wakati issue ni ndogo tu. Nadhani hawajamuelewa Mh. Waziri Mkuu.
Chama kilicho zoea kuwahadaa kila baada miaka 5 hakiwezi kufanya vitu vya miaka endelevu ambavyo kesho watashindwa kuombea au kufanyia kampeniSerikali inasisitiza mbolea ya minjingu badala ya kusisitiza uchimbaji wa visima maji yawepo in case mvua haipo. Serikali ya kijinga sana
Hakika umasikini Mbaya ukiwa masikini hata mjinga anataka akupe ushauriKila mtu acheze mechi yake. Familia zao tayari zina uhakika sasa mimi na wewe tufanye tunachoona kitatukomboa
Ukiona Kuna ulinzi mkubwa, (mkali), ujue usalama kwako ni mdogoKila mtu acheze mechi yake. Familia zao tayari zina uhakika sasa mimi na wewe tufanye tunachoona kitatukomboa
Futa elimu tanzania maama serikali inaona haina maama tena iko tayri kukumbatia wajinga akina kibajaji na akina simba chawene (form four failures).Yupo sawa, sawa na mtu umemaliza chuo na degree yako tena first class, ila unafanya kazi ya duka. Ukagundua kipato cha duka ni kikubwa kuliko kuajiriwa. Huyu mtu ni mjinga? Elimu imepanua mawazo yake kiulimwengu.