Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DHARAU ZIMEANZA SASA
Kumbe, nilipoona jina lako linafanana na alipozaliwa huyo pm wako nikajua ni mwanakijiji mwenzako, I'm so sorry mkuuMkuu samahani sana,🤔🤔 hili ni jina tu, mi sio mwanakiji wa anapotoka PM, naomba sana usinasibishe jina la JF, content na jina la Kijiji Cha PM.
Aksante kwa kunielewa!!🙏🙏🙏
Na yeye alikuwa miongoni mwa wasuka mipango ...labda na yeye alidanganywa na waliokuwa wakimuuguza Jpm.
..kuna rumours kwamba bwana mkubwa alitangulia muda mrefu ila kuna mipango ilikuwa inasukwa hivyo kuchelewesha taarifa kutolewa.
Technical Skills ni chanzo kikubwa cha kuingiza pesa, acheni kuwasanganya Watanzania, techinical skills ni msimgi, vijana wanaofanya kazi Deco majumbani, wanamaisha sana tofauti na wewe uliyeamua kusubiri ajira rasmiNawaza tu msomi mwenye degree au masters anaingia Veta kusomea ufundi baiskeli au ufundi carpenter ajifunze kuchonga majeneza huku anakutana na sisi tuliofeli darasa la nne miaka hiyo tukaingia mtaani kupiga dili za wizi wa mafuta ya transformer na ukabaji kisha tukastaafu na kujifunza ufundi mtaani halafu tukaanza kupiga hela halafu msomi wa chuo anakuja kusoma veta kisha aje mtaani tumfundishe mbinu za kupiga hela kwenye ufundi😂😂😂hii nchi ngumu sana
Ukweli ni mchungu lakini utafanyaje sasa na ni ukweli. Unapaswa kuukubali.Hujasema kitu, hapo wasomi wanatakiwa waamue kwa utashi wao binafsi, sio kutoa general advice, hiyo ni dharau kubwa sana kwa wahitimu wa vyuo vikuu, ni kauli ambayo imetolewa bila tafakuri kubwa!!!
Watu wengi wana OVERTHINKING wakati issue ni ndogo tu. Nadhani hawajamuelewa Mh. Waziri Mkuu.Watu wanapenda kupindisha na kukuza vitu. PM amesema VETA ni kwa kila mtu sio darasa la saba tu, hata graduate anaweza kuja kupata ujuzi.
Hapo shida nini. Kwani wewe na degree yako napoenda kujifunza udereva VETA huwa unatafuta nini?
Mimi na degree zangu nikitaka kwenda kujifunza upishi ili nifungie mgahawa mkubwa, kuna shida gani?