Achana na huyu
Nandagala One
Jamaa analitaka jimbo la Ruangwa; shida yake kabla ya kuanza kutoa hongo kwa wajumbe; anahofia wajumbe wenyewe wana loyalty kwa Majaliwa ndio msingi wa mada zake.
Swala la elimu, sasa huyu Prof Mkenda mwenyewe wakati anazindua mkakati wake alipewa kim dmo cha kuacha porojo na kutoa hotuba.
Maana yake hiyo sera yenyewe hata kwenye baraza la mawaziri aikujadiliwa.
Sasa kama unajua lolote kuhusu strategy za nchi, maswala ya usalama wa taifa uwezi kuwa na sera isiyo-oana na dira ya taifa.
Ni hivi japo PM karopoka kutokana na mazingira husika, ila deep down nchi aina civil service imara.
Story ni ndefu, ila kwa kifupi nchi aina usalama wa taifa imara ndio msingi wa upuuzi.
Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili, at senior level ni watu wenye uwezo wa long term strategic planning.
Ni hivi kazi ya kuongoza nchi sio rahisi.
Hatuko hapo kwa bahati mbaya, ila uwezo wetu mdogo wa kupanga mipango na watu tunaowapa nafasi.
Shida yetu ni uwezo.