Kassim Majaliwa kiufupi umeshajipotezea heshima na heshima uliyobaki nayo ni ndogo Sana.

Nakushauri Ujifunze kukaa Kimya hakuna faida utaipata baada ya kuwa mropokaji.
 
Kassim Majaliwa kiufupi umeshajipotezea heshima na heshima uliyobaki nayo ni ndogo Sana.

Nakushauri Ujifunze kukaa Kimya hakuna faida utaipata baada ya kuwa mropokaji.
Hata hivyo amejitahidi sana hadi muda huu hajatolewa hapo ....makando kando kibao.....rushwa juu muacheni tuuuuu......
 
Hivi degree ni kitu gani kwani mtu anamaliza na hajui chochote hadi aelekezwe tena.

Waziri Mkuu yuko sawa kama hawataki wakae nyumbani wazeeke na degree zao.
Hata mafundi kutoka VETA wanaoajiriwa karibu wote lazima mwaka wa kwanza waishi kama wanafunzi, wanakuwa hawajui chochote.
70% au zaidi ya taasisi ninayofanyia kazi ni mafundi na wahandisi. Mafundi wengi ni zao la VETA, wakija kazini wanaanza from the scratch hawajui lolote.
 
Haropoki, kila anachosema ndio ukomo wa upeo wake.

Kiuhalali alipaswa awe dalali wa korosho kusini huko, ila ndio bahati ikamuangukia. Mvumilieni tu, imebaki miezi michache tu.
 
Nimekumbuka kipindi tunamaliza Advance, Wako walio kua wanaleta mawazo ya Kuenda kusoma Diploma na sio degree ilhali wamefaulu.

Kuna watu walikua wanawapinga, Lakini saiv wanajuta.

Mtu mwenye degree ya Ualimu na Diploma ya Civil Engeneering hawafanani kabisa mtaani.
 
Lazima uanze kidogo kidogo
Sio degree. Niambie ujasiriamali unaoweza anza na degree kidogokidogo fresh from school na ni kiasi gani?
Hapa tuiweke vizuri hii issue ya veta. Mimi naona imekaa vzuri..
Veta 2 yrs. Mtu nimekaa home 8 fck years. Kwanini nisidake issue za useremala hvi, niulete kitaa, hata kwa kusimamia
 
Kwahyo sasahv wew ni tajir?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…