Kwa mfano mwenye degree ya Electrical Engineering kutoka pale CoET -UDSM, kwani hawezi kufanya wiring mpaka aende VETA? Labda kauli ya PM ililenga baadhi ya kozi za degree..!
mindset ya degree holders wengi ni kuajiriwa, hapo anawaza aajiriwe awe injinia wa serikali

Tuishi katika uhalisia, mazingira ya kazi kuna wafanyakazi wengi waliongia muda mrefu ambao pengine wana elimu ndogo kuliko huyo injinia, tatizo linakuja wengi walio makazini wanaogopa kuwapa nafasi wenye elimu ya juu wakiona huenda nafasi zao zitapotea (si wote wanawaza hivi), hii hupelekea kuweka kauzibe, so huyu injia anauwezo mzuri lakini anasota kupata nafasi kwasababu ndogo kama hizi.

Ukiona unakwama tumia njia nyinginezo kufika hapo unapotaka, ukiona karatasi ya degree inazuia, tumia karatasi ya veta kufika hapo, na ndio hoja yangu ilipo, suala hapa ni kujenga profile, ni bahati tu ndio itakuingiza kazini ikiwa huna profile (direct from school), vinginevyo kujishusha ni muhimu.

Ingia veta soma kozi ya umeme, rudi kwenye kuomba ajira, hatoogopa kukupa nafasi kwakuwa ataamini huna elimu ya kumtoa, as a time goes on unajenga profile ambayo ukija ambatanisha na hiyo degree yako hakuna wa kukuzuia tena. Mwajiri anataka ujuzi.

Degree holders acheni kukariri na majivuni ya elimu, yanawafelisha, acheni mambo "nimesota sana kuipata hii degree" be intelligent.

Ipuuzieni kauli ya Majaliwa muendelee kusota kitaa.
 
Ninafuatilia vyema. Haya nipe mfano kutoka katika nchi za ulaya maana hizi nchi za kiafrika zinafanana.
Joseph stalin pia 1953, chama kilizuia kutangaza kabisa kifo chake mpaka wamalize mchakato wa mrithi,
Saparmurat niyazov wa turkmenistan nae alipiti mchakato huo 2006, hii habari ipo kwenye kitabu cha history kile complimentary cha form 3.
Francisco franco wa spain 1975, ambapo madaraka alikaimu mfalme juan carlos I.
Constantine cherneko, yuri andropov, Leornid brezhev wa urusi soviet union hawa tena vifo vyao vilipishana mwaka mmoja hadi miwili, walikua kama wanauliwa hawa. I guess kuna mmoja ilikua 1982, akafata mteuliwa wake 1984, aliyefata kawa 1985, walifatana. Walikua wacommunist nadhani waliuliwa.
 
Inamaanisha Tanzania haijafikia kiwango cha kuhudumiwa na watu wenye Degree?

Inahitaji watu wa VETA tu?
Tupo kwenye kiwango hicho, lakini jiulize tuna capacity gani ya kuajiri degree holders wengi kuliko wa level ya chini? Hali ya kuwa mengi wa watoa huduma wapo kwenye kulenga kupata faida kuliko kutoa huduma.

Hii inawafanya wafocus sana kwenye kutafuta wafanyakazi wenye level ya chini ya elimu kwakuwa wanaona wanaweza kuwamudu linapokuja suala la malipo na kuwasimamia. Mfano nenda sekta ya travel and tourism utaliona hili.

VETA imekuwa kama general term, lakini naamini kwenye mawazo yake alikuwa akimaanisha watu (degree holders) watafute ujuzi wa chini kufika wanapotaka. Hasa katika kujiajiri.
 
We mpumbavu Sana na hauna akili kuna uhakika wa ajira baada ya kutoka VETA ?.
we ndio mpumbavu pro max, wapi uliona mhitimu wa VETA anakosa ajira? yaani we ni fundi halafu ukose kazi? labda uwe una matatizo ya akili. Una simu angalia tik tok uone wachina wanavyoonesha ufundi wao
 
Kuna ubaya gani ukiwa mwanasheria pia unajua kuhusu umeme wa magari.
Humphrey Pole pole Balozi wetu Kule Cuba na aliyekuwa mwenezi wa ccm ni fundi mechanic! Anafungua engine za magari bila wasiwasi.

Enzi hizo tukifanya kazi Bot tulikuwa na Governor ambae gari zake binafsi alikuwa hapeleki garage, alikuwa anatengeneza mwenyewe!
 
Acha ujinga wewe yupo sahihi sana
 
Mkuu kauli yake haina makosa yeyote nina toast mfano wangu miki kipindi cha miaka 95 hadi 2000 hakukuwa na ajira nilipo hitimu chuo sikupata ajira na nilichosomea haikuwaez3kama kuajirika na taasisi binafsi nikaamua kwenda VETA nikachukua fani ya usanifu majengo na Ujenzi. Nikafanya kazi binafsi mwisho wa suku nikaajiwa lakini nina Ofisi yangu binafsi na inafanya vema kabisa.

TUTUKEKWENYE BOX LA KUONA MWENYE DIGRII YA MAKENIKA HAWEZI SONGA UGALI KATIKA MGAHAWA WAKE
Si VVIBAYAMWENYE DIGRII YA INTERNATIONAL RELATIONSHIP KUSOMEA CHETI CHA UFUNDI BOMBA HALAFU UKAFUNGUA KAMBU YAKO NA UKAENDESHA SHUGHULI ZAO.
 
Ndio maana huwa namwona fala mtu anayedhani product za veta zina skills na ujuzi kuliko product za vyuo vikuu , hao madogo ni viazi zero brain ,Hamna kitu .
Zero ,kwa mtu ambaye hajafanya kazi za Engineering au Vocational trade hawezi elewa hili , bora wewe una uhalisia wa jinsi mambo yalivyo
 
Huyo eti waziri mkuu akijbu swali la suluhisho la ajira kwa vijana kwny taifa lake, ndo maana linapaka mapiko ili lionekane halina mvi za uzee, ili tuende veta na dgree au masters tunataka tuwaone watoto wa majaliwa, samia, pinda, tulia, nk wakiwa veta.
 
Mkuu hoja hapa sio kwamba utoke Engineering ukasome VETA hoja ya waziri mkuu ni watu kuwa ujuzi vitu vidogo vidogo vya kufanya huku wakisubiri ajira.Engineer anaweza ongeza ujuzi wa viwnda vya nguo,utengenezaji wa vifaa vya umeme au kilimo.Wazo la waziri mkuu lichukuliwe positively litatusaidia sana
 
Huna akili kama mjinga mwenzenu huyo kiazi Kasimu
 
Huyu jamaa aliwahi kutushupalia kuwa Magufuli hajafa bali yupo anapiga kazi kama kawa😂
 
waziri yuko sahihi nendeni veta mkiambiwa ccm ni janga la taifa hamuelewi
 
Ndio maana tunawambia vijana watoke magetoni(comfort zone),ukiwa mwalimu mwenye degree halafu ukajifunza kupamba maharusi,kumbi ,kutengeneza cake ,kukodisha tent,viti .Mtu akikwambia ualimu haulipi utamshangaa maana kipato chako hakitegemei mshahara .
 
Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
 
Wewe Kati ya hivyo unafanya kipi? Mpo busy kutoa theories za kichoko wakati wewe huna unachofanya Kati hicho.
 

Sidhani kama kuna haja ya mtu aliyesomea Electrical engineering, mechanical engineering, biomedical engineering, automotives engineering, automation engineering e.t.c kwenda Veta maana yanayofundishwa huko ni part ya aliyoyasomea .

Mpaka hapo nafhani uneshapata jibu au sio mkuu 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…