Kwanza kabisa kwa kunipa historia. Ninachopingana nacho ni uwongo wa Kasimu majaliwa kuhusi afya ya Magufuli. Kwani angesema anaitwa lakini ana hali nzuri au akakaa kimya kabisa kitu gani kingetokea.
Eti "Yuko timamu na anaendelea na majukumu yake" wakati mtu kashafariki
 
Mbona hana nia mbaya, mbona mm najifunza mapishi na keki, nipo na Waziri Mkuu hadi uchaguzi ujao,
Kuna Mapambo pia, ukiweza kua na Jina lako hukosi vi laki laki vya sherehe huku unasubiri issue zako za degree zitiki
 
Huyo mtu angesoma SUA toka mwanzo mambo ya agrobusiness ingekua poa sana kuliko engineering
Kama ilivo kwa Viongozi wengi kupata akili wakiwa wamestafu.

Hata wasomi wengi, Wanagundua courses ambazo zingewafaa wao baada ya kumaliza degree zao.

Ni shida tupu.
 
Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako
Hakuna kinacho haribika Mkuu Hizi ni double chances.

Mimi degree yangu ni Mifugo, Lakini nina skills za graphics design ambayo nilipiga courses online kwa almost 1 year.

Part time yangu nafanya hizo kazi za graphics design.

Hivo hivo unaweza kua ni mwalimu na ukajivunza mapambo kuongeza double chances
 
Hawafanani kwa kuwa wapo kwenye taaluma 2 tofauti.
Ungezungumzia wale wenye taaluma 1 ila level tofauti, ungeeleweka.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hivi degree ni kitu gani kwani mtu anamaliza na hajui chochote hadi aelekezwe tena.

Waziri Mkuu yuko sawa kama hawataki wakae nyumbani wazeeke na degree zao.
Kama kuna udhaifu kwa wahitimu wa degree suluhisho ni kuwapeleka Veta?!

Kilichosababisha vyuo vyetu kuzalisha degree dhaifu nini?

Kwa nini serikali isishughulike na kiini cha tatizo?!
 
Nani amekataa haya... Mm pia Nina degree ya ualimu pia nimepiga course ya tourisim management.... But hii kauli kwa kiongozi ni ya kijinga na kutweza watu!!. Unafikiri wote wanapesa za kusoma course mbadala?, Utakuja na hoja ya serikali inatoa elimu ya ufundi bure?. Hili sio kweli...
 
Mijitu ya Tz bado inaujinga sana ikiambiwa ukweli inakasirika, yani we hautaki kuambiwa ukweli? haya endelea endelea kukaa nyumbani na vyeti vyako ajira zipo utapata
 
Nilidhan Majaliwa Ana upresident material lakin nimeona kabisa hatoshi kabisaaa
 
Kauli ya kuvimbiwa...

Mitano mingine ni kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…