kuwataka vijana wasomi wa vyuo vikuu kujiunga na vyuo vya VETA Kusomea ufundi wa fani mbalimbali.

Engineer Noel K. Ngowi - Teknolojia ni Sanaa, Utayari wa Jamii Kuzalisha Teknolojia

Your browser is not able to display this video.

Mambo matatu ya kuwezesha teknolojia iibuke katika jamii ya kiAfrika yatafikiwa ikiwa tu maswali haya matatu hapa chini yakipatiwa majibu, nayo ni :
  1. Hitaji ndani ya Jamii lipo
  2. Utayari wa Jamii
  3. Sapoti ya ubunifu kutoka sehemu kubwa ya jamii
wananangania kubeba karai kichwani, kubeba mizigo kama wapagazi badala la kutumia teknolojia kurahisisha mambo .....
 
Wala sio tatizo, Ni jambo jema.
Mimi wakati ninasomea uhandisi, sio hapa bongo
mwaka wa kwanza tulikuwa tunahudhuria chuo cha ufundi kujifunza kutumia Milling na Lathe machine, Pia Welding na Injection moulding.
Nakumbumbuka wiki ya kwanza tulipewa kipande cha chuma tukipige filing kwa mkono na kupungunza sentimita 10 zote.
 
 
Watu wanapenda kupindisha na kukuza vitu. PM amesema VETA ni kwa kila mtu sio darasa la saba tu, hata graduate anaweza kuja kupata ujuzi.

Hapo shida nini. Kwani wewe na degree yako napoenda kujifunza udereva VETA huwa unatafuta nini?

Mimi na degree zangu nikitaka kwenda kujifunza upishi ili nifungie mgahawa mkubwa, kuna shida gani?
 
Mzee acha siasa za kipuuzi tupo huku mtaani hali halisi tunaiona huu unao andika ni upuuzi mwingine kama aliosema katelefoni huwezi tatua tatizo la ajira kwa kuongea kirahisi rahisi tu hivi mnavofanya
 

Sawa Mkuu. Tatizo ni kwa nini wawapeleke University, wawakopeshe halafu wakijitimu ndipo wawashauri kwenda VETA?
 
Kwamba hao mafundi wana kazi za kumwaga ? Au lack of disposable income inapelea watu kukosa ujira wa kutosha ?!!!

 
Wakati wanafnya hivi,

Je hawa wanjiunga na vyuo kila mwaka serikali ina mpango nao.

Au ndio wanasubiri wamalize chuo ndio wajiunge na ufundi study.
 
Eti huyu ndiye waziri mkuu ametoa suluhu ya ukosefu wa ajira atwambie wahtimu wote wa veta wana ofisi wp kwmb hawapo mtaani.
 
Shida tunapenda kuambiwa uongo wenye kufurahisha kuliko ukweli unaoumiza

Amka ndugu, watu wamemaliza chuo wameenda kujifundisha kutengeneza magari, simu, kushona nguo nk na wanapata mahitaji yao ya msingi kiasi kwamba hata hizo ajira hawazotaki.


Bila shaka wewe ni wale mliojiwekea 100% ya kuajiriwa serikalini ndio maana imekuchoma sana
 
Ufanisi wake umewahi zingatia?
 
Kwa hali hii si bora watu wakasomee fani tu?
 

Attachments

  • IMG-20250312-WA0002.jpg
    115.5 KB · Views: 2
Bila vitendeakazi na uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu na blabla

Yeye ka injinia aliwahi kubuni na kuunda kitu gani?
Na kinatumika wapi?
Na kimebadilisha vipi jamii ya watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…