Ushawahi kupanda superfeo toka songea kwenda dar kupitia iringa?je ulipofika ubungo walikulazimisha kushuka wakati unashukiwa k/koo?Sawa mimi ni kiazi wewe endelea na mgomo,,hivi hoja yako ya msingi iliyokupelekea kugoma ni ipi? kama ni kushusha abiria mjini,,je ni mji gani ambao abiria wanashushwa mjini baadala ya stendi kuu? kama hakuna kwanini nyie Songea mnalazimisha magari makubwa kuingia mjini?
Hilo jambo ndilo hata waziri Mkuu alitaka mkuu wa mkoa na wadau wakae walijadili,sasa huyo mkuu wa mkoa anawakumbuka wafanyabiashara maana yake nini?Kupitia hilo sasa serikali na wafanyabiashara wanaweza wakatengeneza fursa na ikawezekana,,kwa kuhakikisha kunakuwa na usafiri muda wote,,,
Unaweza ukaamua kunenga nyumba ya kulala wageni jirani na stendi ikasaidia kuhudumia wasafiri wa mbali ambao hata wakishuka stendi ya mjini usiku hawawezi wakafika makwao,,,
Songea hakna hospital ya Bombo, siijui na sijawahi sikia.Bombo nimeiona tanga ni hospital ya mkoa wa tanga, kwa songea sijui kama ipo ila baada siku 4 nitakua songea nitalifanyia kazi.
Yaan ni vile bas tyuuh kwetu, ila kubaya bhana na maendeleo duni, viongozi nao hawana muda wao buzzy kula mema ya nchi.Aisee..nilijuaga msamala ..na kweli pale mjini mwezi January tulishuka pale niliona daladala tupu...songea kwetu Ila pabaya
Yaani uko sahihi sana.Na sera yetu ya Makazi (Human Settlement policy) inasisitiza kuwa na miji compact.. kupunguza uharibifu wa mazingira.. administrative costs, infrastructure costs na eventually kuwapunguzia watu gharama za kuishi mijini... Ukiondoa transportation factor unamnufaisha yule mtu wa chini kabisa.
Wakurugenzi badala ya kutumia MASTER PLANS KUGIUIDE MIRADI YAO WANAENDESHWA NA KIU YA MAPATO, NA SIASA.. HATUWEZI KUFIKA...
Iringa wangelipa fidia waweke stand eneo la makaburi pale juu karibu na soko kungeufanya mji kuwa vibrant zaidi.. wanakimbilia igumbilo kuanzisha mji mpya wakati hata wa zamani haujakomaa
Sasa saivi mara 10 ya pale.duuh! pale Msamala tu nilipaona ni mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makosa yalifanyika tangu mwanzo,miji mingi ya Tanzania ,ilianza kujengwa tu bila ya kuwa na master plan ya mji.changamoto ndo hiz tunaziona sasa.mfano jiji la mbeya aise ,plan ya mji iko shagalabagala,yaani vijumba vimepangana utazani viota vya ndege.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wee nae khaaah unafananisha Dar na Songea? Uko serious?Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Ni mkoa ambao wanapewa wanawake kuongoza every time ndo maana kupo nyuma sana.Huu mkoa akipewa kuongoza mwanamke kunakuwa na matatizo sana, Monika mbega,Anna makinda.
Hadi ndongosi wakujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Mfaranyaki..mjimwema..ndongosi..lituhi kote kwetu.
Hata milele yote, Songea hakuwezi na ongezeko la watu.Sio kwa mji wa songea na stand haiwezi kukuza mji hata siku moja songea hakuna shughuli zitakazopelekea msongamano uongezeke ndani ya miaka ishirini ijayo
Sijaelewa unachotaka kusema,,ila kama wanaenda na abiria mpaka kariakoo,,basi ni utaratibu wa huko,,maana kila halmashauri inweza kutengeneza sheria ndogondogo ilimradi zisipingane na sheria kuuUshawahi kupanda superfeo toka songea kwenda dar kupitia iringa?je ulipofika ubungo walikulazimisha kushuka wakati unashukiwa k/koo?
Muzuri = mzuriUlikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Kama hamtaki kuwekeza kutakuwaje kuzuri? njooni muwekeze mnapoona kwa wenzenu kuzuri ,,ni kwamba wanatafuta zeni wanarudi kuwekeza makwaoYaan ni vile bas tyuuh kwetu, ila kubaya bhana na maendeleo duni, viongozi nao hawana muda wao buzzy kula mema ya nchi.
Haya tumesikia na kuelewa.Kama hamtaki kuwekeza kutakuwaje kuzuri? njooni muwekeze mnapoona kwa wenzenu kuzuri ,,ni kwamba wanatafuta zeni wanarudi kuwekeza makwao
kheee.... Litimba, kuchihoro, kuluhowo, kungomachini, kufokulendi... khoha nimeli kojima... nikumanyi, animal kuhika😀😀
Mfaranyaki..mjimwema..ndongosi..lituhi kote kwetu.
Hiyo ndiyo serikali yetuMwezi huu mwanzoni nilikuwa songea, nilikasirika sana kushushwa huko porini usiku halafu ndio Mara ya kwanza kufika songea. Siku ya kuondoka napo inabidi uamke sa kumi, bodaboda 10 au 15.
Hakika huu ni uchumi wa katikati.