Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

Utakuwa unasali kwa Zumaridi wewe
 
Huyo Mungu ndiye kakutuma utukane watu hovyo hivyo?

Atakuwa mungu how hirizi wa viunoni au kwapani huyo ila si Muumba mbingu na nchi [emoji38]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hujui Biblia wewe

Yesu alinwita Herode Mbweha

Mimi kumwita Putin Mbwa sio kitu kikubwa

narudia Putin mbwa mkubwa

Luka 13:32 BHN​

Yesu akawajibu, β€œNendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: β€˜Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’
BHN: Biblia Habari Njema
 
Endelea kukaza fuvu na ujuaji wako mwingi wa Biblia huku ukiendekeza mahaba nnje ya Biblia [emoji1787]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Putin sio myahudi yeye mwenyewe alikana
wapi Yesu alisema yeye ni myahudi? Na walio muua Yesu hawakua wayahudi? Yusufu zama za Herode alikimbilia Misri, alikimbia nan kama sio mayahudi?
 
Na walio muua Yesu hawakua wayahudi?
Wayahudi hawakumuua Yesu

Waliomuua Yesu ni Askari wa kirumi sio wayahudi

Hata hukumu yake aliyemuru auawe ni jaji wa kirumi anayeitwa Ponsio Pilato
 
Wayahudi hawakumuua Yesu

Waliomuua Yesu ni Askari wa kirumi sio wayahudi

Hata hukumu yake aliyemuru auawe ni jaji wa kirumi anayeitwa Ponsio Pilato
Viongozi wa wayahudi walikua warumi? makuhani walikua warumi?
 
Viongozi wa wayahudi walikua warumi? makuhani walikua warumi?
Hao wakipiga kelele tu asulubiwe asubiwe ila hawakumuua Waliomuua ni Askari wa kirumi wakamtundika msalabani na wakamchoma mkuki.

Hakuna myahudi aliua Yesu mikelele walipiga lakini hukumu ya kuuawa Yesu aliitoa jaji.Mrumi Ponsio Pilato akamkadhi kwa Askari warumi wenzie wamwuue Yesu .Warumi ndio walimuua Yesu

Yesu aliuawa na warumi sio wayahudi
 
Hata wewe hujui Biblia, unatuzuga tu
 
Sasa ni maana ya kupiga kelele asulubiwe? Na kwanini Yusufu aliwaogopa Wayahudi alipotaka kuuchukua mwili wa Yesu?
 
Ndo muhubiri wa kanisa lenu aliwaambia muwaombee Ukraine?
 
Toka nimeanza kuwajua wanaCCM wahajawahi kuniangusha kwenye kuongea ugoro . jambo lolote ukitaka liharibike na kuonekana pumba mshirikishe mwana Lumumba.
Wana lumumba hawajawahi kutuangusha 🀣🀣🀣

Nasema uongo pisi?
 
Embu toka kwenye huu uzi

Hukawii kuharibu jambo kama ndugu yako Yehodaya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜”πŸ˜‚πŸ™Œ
Kuna siku Mbowe alivyotoka amesema Mbowe ndio ajifunze sasa kuttorudia kufanya ugaidi
 
Reactions: Pep
na hitler alipigwa na urusi
 
Kwani Wayahudi ni nani? Siyo binadamu kama sisi wengine? Punguzeni kuwa Watumwa wa Wazungu.
 
Pale Wayahudi wa Buza waliotekwa kiakili kuitetea Israel kwa kudhanu Israel kuna Christians sana kuliko ata Tanzania!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama russia atashindwa na ukraine haya ni maajabu katika medani za kivita, ushindi wa ukraine katika vita hii labda isaidiwe vifaa vya kijeshi vikali zaidi kuliko vya russia toka mataifa ya magharibi au nchi za NATO zijiingize moja kwa moja kuishambulia russia kitu ambacho si rahisi kwani itakuwa ni janga la kidunia ambalo halijawahi kutokea tangu vita vya pili vya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…