πππ Fiction books wanataka pia tumiliki kama silaha!!!Ujinga mtupu.
Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.
Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
Akili zinakurudia taratibu.Umeshaelewa kuwa kila unachokiona yupo aliyekifanya.Rudia tena kila unachokiona yupo aliyekifanya kiwepo.Utaelewa taratibu.Sawa ngoja nikubali wazo lako. (kwa mujibu wako)
Tumeanza kujiuliza kuwa kama vitu vyote tunavyoviona lazima awepo aliyevifanya.
Huyo aliyevifanya tuvionavyo yeye kafanywa na nani?
Na hicho kibali ujuwe kina gharama,na bado gharama ya kununua hicho kitabuNimefurahi sana kusikia "idadi kubwa ya kuomba kibali", Ma shaa Allah, kumbe mpaka waombe kibali? Kitabi kipi kingine kukichoma mpaka kiombewe kibali?
Huo pekee ni muujiza wa Qur'an.
Wa ovyo ni wewe usiyeuelewa uislamuHoja zako unazitetea lakini kiuhalisia hazitetewei.
Ugaidi ni vikundi vya kiislam vinavyofadhiriwa na mataifa ya kiislam kama iran,unataka kusema kwamba waislamu wanapewa fedha na wazungu ili wauchaue uislamu??
Mihemuko na fujo ndio uislamu wenyewe hata hapa tz tumeona mengi,waislamu wazenji waliandamana kupinga ujenzi wa kanisa je huu kwako unauita ni nini?
Ukandamizaji wa jinsia ya kike huu uko wazi,mwaka jana binti wa kiikurdi aliuliwa na polisi wa iran kwa sababu ya kutokuvaa hijabu au umesahau,pia juzi afgn wamepiga marufuku mabint kusoma mpaka chu kikuu pia ni marufuku wanawake kwenda saloon.
Uislamu ni dini ya hovyo kuwahi kutokea duniani.
Huko kupoteza pesa za kibali,kununua kitabu kimoja 50000,halafu wakichoma moto,ni sawa na kuichoma pesa.Ndio adhabu yenyewe hiyo wapeshapewa na Mungu.Mwisho wasiku wanaibuka binadamu wakumtetea dah story zingine zimeigharim Dunia kwakipindi kirefu sana
Huko kikichoma ndio ukichaa huo.Kutoa pesa na kuichoma.Hicho kichaa chako cha kuchoma vitabu,ndio hatari kwa wengine,waweza kuchoma magari.Kwani kile kitabu sikinauzwa mimi nikienda kununua nakukichoma wewe unapata hasara gani?
Kinacholalamikiwa ni huo ukichaa wa kuchoma pesa.Sifa mnawapa nyie mnao lalamika kitabu anunue yeye akikichoma ulalamike hivi huoni kua unakaupuuzi
Ulisha wahi sikia wapi ala anagawa pesa?Kinacholalamikiwa ni huo ukichaa wa kuchoma pesa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ala ndiyo nani?Ulisha wahi sikia wapi ala anagawa pesa?
Acha uvivu,wasubiri vya kugaiwa.Ulisha wahi sikia wapi ala anagawa pesa?
Jifanganye.Hivyo vitabu wananua kwa pesa,hawavipati bure.Hapo wanachoma pesa,walizonunua hivyo vitabu.Na kuwapa biashara wachapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu.Ni mjinga peke ake,ndio ataweza kuwaona hao wana akili.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimeweka hapo juu contradictions in the Quran.πππ Fiction books wanataka pia tumiliki kama silaha!!!
Theists wana matatizo sana na miungu yao.
Hili swali tumeshaliongelea hapo awali.Wewe unajisifu unaakili uliwahi kuizona?
Vinachapishwa na kugawiwa bure hapo Malmo.Huko kupoteza pesa za kibali,kununua kitabu kimoja 50000,halafu wakichoma moto,ni sawa na kuichoma pesa.Ndio adhabu yenyewe hiyo wapeshapewa na Mungu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Anasema wanafaidika ila hasira zimejaa hata hajitambui huyu Kikwajuni OneSawa si pesa zao wewe kinachokuuma nini.
Samahani mkuu tufafanulie iyo satanic verses unamaana ni mashairi ama aya za shetani au sioVinachapishwa na kugawiwa bure hapo Malmo.
Hata vingeuza hiyo 50k haifiki hata 500kr.
Vichomwe tu mi nakubaliana na muislamu mwenzenu Salman Rushdie aliyeviita Satanic Verses.
Kweli allah wa ajabu.Huoni Allah alivyo na nguvu,mara moja amewapaisha kibiashara wachapishaji wa hivi vitabu na wauzaji.Wachomaji wa hivi vitabu wanatoa pesa kununua,na wauzaji wa vitabu na kuchapisha wanapata pesa na faida.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli allah wa ajabu.Huoni Allah alivyo na nguvu,mara moja amewapaisha kibiashara wachapishaji wa hivi vitabu na wauzaji.Wachomaji wa hivi vitabu wanatoa pesa kununua,na wauzaji wa vitabu na kuchapisha wanapata pesa na faida.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hivi unaijua SAPO ya Sweden wewe?WANAADAMU WA SWEDEN...WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA SOON ...
MARK MY WORDS.
Kuna muislam anaitwa Salman Rushdie baada ya kuisoma na kuijua vizuri quran akasema ni aya za kishetani.Alisema hivyo miaka mingi sana ila bado yuko na Mungu anaendelea kumpa afya na baraka zakeSamahani mkuu tufafanulie iyo satanic verses unamaana ni mashairi ama aya za shetani au sio