Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Ujinga mtupu.

Vitabu vyenyewe vimejaa contradictions.

Waacheni wachome, kwani wakichoma huyo Allah wenu atakufa?
😂😂😂 Fiction books wanataka pia tumiliki kama silaha!!!

Theists wana matatizo sana na miungu yao.
 
Sawa ngoja nikubali wazo lako. (kwa mujibu wako)

Tumeanza kujiuliza kuwa kama vitu vyote tunavyoviona lazima awepo aliyevifanya.

Huyo aliyevifanya tuvionavyo yeye kafanywa na nani?
Akili zinakurudia taratibu.Umeshaelewa kuwa kila unachokiona yupo aliyekifanya.Rudia tena kila unachokiona yupo aliyekifanya kiwepo.Utaelewa taratibu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi sana kusikia "idadi kubwa ya kuomba kibali", Ma shaa Allah, kumbe mpaka waombe kibali? Kitabi kipi kingine kukichoma mpaka kiombewe kibali?

Huo pekee ni muujiza wa Qur'an.
Na hicho kibali ujuwe kina gharama,na bado gharama ya kununua hicho kitabu
1.Upate form kutoka mtaanu kwako,ujaze form,uilipie.
2 .Ujaze form ya wizara,uilipie
3 Usafiri wa kufuatilia kibali,gharama.
4.Ukanunue hicho kitabu,ni gharama
5.Utafute usafiri,wa kwebda kuchoma ni gharama.
6.Wakati ansoupoteza ni gharama(time is money)

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hoja zako unazitetea lakini kiuhalisia hazitetewei.

Ugaidi ni vikundi vya kiislam vinavyofadhiriwa na mataifa ya kiislam kama iran,unataka kusema kwamba waislamu wanapewa fedha na wazungu ili wauchaue uislamu??

Mihemuko na fujo ndio uislamu wenyewe hata hapa tz tumeona mengi,waislamu wazenji waliandamana kupinga ujenzi wa kanisa je huu kwako unauita ni nini?

Ukandamizaji wa jinsia ya kike huu uko wazi,mwaka jana binti wa kiikurdi aliuliwa na polisi wa iran kwa sababu ya kutokuvaa hijabu au umesahau,pia juzi afgn wamepiga marufuku mabint kusoma mpaka chu kikuu pia ni marufuku wanawake kwenda saloon.

Uislamu ni dini ya hovyo kuwahi kutokea duniani.
Wa ovyo ni wewe usiyeuelewa uislamu
1.Ukristo unatembeza wanawake uchi,wanavyalishwa nguo fupi,wakiinama mpaka nguo za ndani unaziona(wakristo wanawawaeka wanawake ni liumbe cha kudharaulika)wakati wanaume wanavyaa nguo ndefu?2.Askofu Kibwetere,kawaua wanawake,kwa kuwachoma moto kanisani.
3.Mchungaji Ezeckiel,Kenya kawaua wanawake kwa kuwaweka kwa njaa.
4.Waprotestant na wakatoliki,wameuana Ireland ya kaskazini.
5.Huko Rwanda,Padre kashika bunduki na kuwaua kanisani waumini,kawamiminia risasi wanawke na watoto.
6.Lord resistance army(wanamgambo wa kikristo wanauwa wanawake na watoto ovyo,kaskazini ta Uganda.
7.M23 wakristo wanauwa wanawake na watoto ovyo huko Kongo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vitabu wananua kwa pesa,hawavipati bure.Hapo wanachoma pesa,walizonunua hivyo vitabu.Na kuwapa biashara wachapishaji na wauzaji wa hivyo vitabu.Ni mjinga peke ake,ndio ataweza kuwaona hao wana akili.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jifanganye.
Sweden mjini Malmo kuna sehemu wanachapisha mpaka vya kiswahili buree.Vingine wanachapisha na kugawa bure kwa shule masikini duniani.

Na kama wanapata faida kama unavyodai si mnyamaze basi muhesabu hela badala yakuleta mihemuko.
 
😂😂😂 Fiction books wanataka pia tumiliki kama silaha!!!

Theists wana matatizo sana na miungu yao.
Nimeweka hapo juu contradictions in the Quran.

Hakuna hata mtu mmoja aliyezigusa.

Wanajua hawawezi kuzitatua.
 
Wewe unajisifu unaakili uliwahi kuizona?
Hili swali tumeshaliongelea hapo awali.

Wapi nimejisifu nina akili?

Akili ni nini?

Ikiwa sijawahi kuziona hizo akili, hilo linathibitisha Mungu yupo?

Mbona unaleta swali la logical non sequitur?

Nikifa leo, nisiwepo mimi wala akili yangu, hivyo nisiweze kuthibitisha kwamba nina akili, ikiwa Mungu hayupo, ile hali ya mimi kutokuwapo na kutoweza kuthibitisha nina akili itafanya Mungu awepo?

Umethibitisha Mungu yupo?
 
Huko kupoteza pesa za kibali,kununua kitabu kimoja 50000,halafu wakichoma moto,ni sawa na kuichoma pesa.Ndio adhabu yenyewe hiyo wapeshapewa na Mungu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Vinachapishwa na kugawiwa bure hapo Malmo.
Hata vingeuza hiyo 50k haifiki hata 500kr.

Vichomwe tu mi nakubaliana na muislamu mwenzenu Salman Rushdie aliyeviita Satanic Verses.
 
Vinachapishwa na kugawiwa bure hapo Malmo.
Hata vingeuza hiyo 50k haifiki hata 500kr.

Vichomwe tu mi nakubaliana na muislamu mwenzenu Salman Rushdie aliyeviita Satanic Verses.
Samahani mkuu tufafanulie iyo satanic verses unamaana ni mashairi ama aya za shetani au sio
 
Huoni Allah alivyo na nguvu,mara moja amewapaisha kibiashara wachapishaji wa hivi vitabu na wauzaji.Wachomaji wa hivi vitabu wanatoa pesa kununua,na wauzaji wa vitabu na kuchapisha wanapata pesa na faida.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli allah wa ajabu.
Anawapaisha kibiashara halafu anawanyima kufurahia faida anawapa hasira na mihemuko.Kama allah kakuza biashara kwanini unakasirika hadi unasema WANAWABEEP WAISLAMU WAKIWAPIGIA WASIPIGE KELELE?

Hakuna cha faida wala nini hapo roho inakuuuma ushatoa jambia unatamani upate chance ya kusema takbir bahati mbaya hakuna muarabu anaweza leta fyoko mbele ya SAPO ya Sweden.
Kurwan itachomwa na hakuna wa kufanya kitu
 
Huoni Allah alivyo na nguvu,mara moja amewapaisha kibiashara wachapishaji wa hivi vitabu na wauzaji.Wachomaji wa hivi vitabu wanatoa pesa kununua,na wauzaji wa vitabu na kuchapisha wanapata pesa na faida.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kweli allah wa ajabu.
Anawapaisha kibiashara halafu anawanyima kufurahia faida anawapa hasira na mihemuko.Kama allah kakuza biashara kwanini unakasirika hadi unasema WANAWABEEP WAISLAMU WAKIWAPIGIA WASIPIGE KELELE?

Hakuna cha faida wala nini hapo roho inakuuuma ushatoa jambia unatamani upate chance ya kusema takbir.
Hakuna muarabu anaweza leta fyoko mbele ya SAPO ya Sweden.
Kurwan itachomwa na hakuna kitu mtafanya.
 
Samahani mkuu tufafanulie iyo satanic verses unamaana ni mashairi ama aya za shetani au sio
Kuna muislam anaitwa Salman Rushdie baada ya kuisoma na kuijua vizuri quran akasema ni aya za kishetani.Alisema hivyo miaka mingi sana ila bado yuko na Mungu anaendelea kumpa afya na baraka zake
 
Back
Top Bottom