Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Wanaagiza alibabaWalizipata wapi? Inabidi kuwe na utaratibu wa kupata kibali cha kuwa na vitabu vya dini kama vile umiliki wa silaha, kama watu hawana nidhamu na staha kwa imani za wengine.
Na kinachowauma ni kuwa wanajua hana uwezo wa kujipigania,Hakuna watu wanaoishi kwa mihemko ya kumpigania Allah kama hawa samaleko,ni upuuzi mkubwa sana,Allah hawezi piganiwa na watu washenzi kama hawa,acheni Allah ajipiganie
allah ni kama mzamiru tu yule wa simba, hana madhara.Ndo ushangae na wewe mkuu,eti mtu anatishia kutoa sijui fatwa sijui data na zawadi juu Kwa atakayemuua mpinga Uislamu
Allah anashindwa nini kudeal naye personally!!
Ni kama Ile ya Salman Rushdie,
Allah anachesha kweli
Na kinachowauma ni kuwa wanajua hana uwezo wa kujipigania,Hakuna watu wanaoishi kwa mihemko ya kumpigania Allah kama hawa samaleko,ni upuuzi mkubwa sana,Allah hawezi piganiwa na watu washenzi kama hawa,acheni Allah ajipiganie
Wanachokhofia ni kuona Allah akishindwa kufanya chochote mbele yao na maadui zaoWachome tuu, si ni karatasi hizo wataprint zingine [emoji1787][emoji1787]
Wewe huna haki ya kuwapangia watu uhuru wao una mwisho gani katika nchi yao.Ni jambo la kusikitisha kwakweli, .
Wanataka kutawala dunia, mbona wanasema wazi tu.Muslim hao hao hawaheshim imani za wengine.
Kutwa midahalo kupondea wenzao na kujinasibu kuwa wao ni bora na wenye haki.
Sasa kwanini hiyo haki iwe upande mmoja?
Kwanino wao hawaheshimu za wengine.
Acha kichomwe kisawa sawa.
Tutajuana mbele kwa mbele
FaizaFoxy njoo hukuAcha Mungu ajitetee mwenyewe.
wanachokitafuta watakipata.
Na hapo ndipo utajua Mungu hayupo, huyo Mungu ni hadithi za watu tu.Acha Mungu ajitetee mwenyewe.
Wana wabeep waislam, wakiwapigia, wasipige kelele.Ichomwe