Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani hata hoja wakiiona wanaijua hii ni hoja?Sasa hapo ndiyo umejibu hoja nliyokupa?
Mimi nawaonesha logical fallcy juu ya logical fallacy, hata hawaoni tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata hoja wakiiona wanaijua hii ni hoja?Sasa hapo ndiyo umejibu hoja nliyokupa?
Imani yako ni potofu.Bilisi wa mtu nimtu naamini kila anaepinga uwepo wa Mungu huyo alishawishiwa na binaadamu Kama yeye kuwa hakuna Mungu namwisho akamuamini
Ila hao jamaa ni wapuuzi uhuru wa kujieleza kwa kuwaudhi watu wengine si wachukue vya kwao wachome halafu wairaq nao wakitumia uhuru wao wa kujieleza kuwachomea balozi zao wanakimbilia UN watulie tu huku nchi nyingine nazo zikitumia uhuru wao wakujieleza . Sio sawa kuchoma kitabu chochote cha imani iwe budha iwe bible iwe quran na muhimu kuheshimu vya wengine la sivyo hautaheshimiwa.Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.
Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?
Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?
Ile Quran si makaratasi tu?
Au mnaabudu Quran?
Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Mkuu,Ila hao jamaa ni wapuuzi uhuru wa kujieleza kwa kuwaudhi watu wengine si wachukue vya kwao wachome halafu wairaq nao wakitumia uhuru wao wa kujieleza kuwachomea balozi zao wanakimbilia UN watulie tu huku nchi nyingine nazo zikitumia uhuru wao wakujieleza . Sio sawa kuchoma kitabu chochote cha imani iwe budha iwe bible iwe quran na muhimu kuheshimu vya wengine la sivyo hautaheshimiwa.
Ndio watulie na pia wawelewe vizuri wale vijana wa wairaq walipotumia uhuru wao wa kujieleza kuchoma balozi zao.Mkuu,
Unaelewa jinsi wewe unavyoona wanatumia uhuru wao kuwaudhi wengine na wao wanakuona wewe unawaudhi wao kwa kuudhika wao wakitumia uhuru wao?
Wanakuona hujaelewa dhana ya uhuru wa kujieleza bado.
Ukichoma Quran ambayo ni mali yako Sweden, Quran umeinunua/ mali yako, upo ndani ya uhuru wa kujieleza.Ndio watulie na pia wawelewe vizuri wale vijana wa wairaq walipotumia uhuru wao wa kujieleza kuchoma balozi zao.
Kwa iraq ni uhuru wao wa kujieleza na wala hawajawafanya kitu kama vile wa sweden kwa hiyo waendelee tu kuwa wavumilivu.Ukichoma Quran ambayo ni mali yako Sweden, Quran umeinunua/ mali yako, upo ndani ya uhuru wa kujieleza.
Ukichoma Quran ya mwenzako bila idhini yake Sweden, Quran ambayo hujainunua umetoka kwenye uhuru wa kujieleza, umechoma mali ya mtu mwingine.
Ukichoma ubalozi wa mtu napo umetoka kwenye uhuru wa kujieleza, umechoma mali ya mtu mwingine na mkondo wa sheria utachukuliwa dhidi yako.
Hii sentensi hata sijaielewa.Kwa iraq ni uhuru wao wa kujieleza na wala hawajawafanya kitu kama vile wa sweden kwa hiyo waendelee tu kuwa wavumilivu.
Kwa wa sweden serikali inasema kuchoma ni uhuru wa kujieleza na wao pia serikali ya iraq waliacha vijana wakachoma ubalozi wa sweden ktk ile kulinda uhuru wa raia kujieleza hisia zao, sasa wasweden wamerudi tena wanalialia kuwa serikali ya Iraq imeshindwa kuzuia vijana kuchoma ubalozi zaidi tena imemfukuza balozi wa sweden baghdad ndio hapo simple tu wote wawili yaani sweden na iraq wametekeleza uhuru wa maoni kutoka kwq watu wao kwa hio wachukulie poa tu watulie wasiendeleze ulalamishi.Hii sentensi hata sijaielewa.
Sababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.Kwa wa sweden serikali inasema kuchoma ni uhuru wa kujieleza na wao pia serikali ya iraq waliacha vijana wakachoma ubalozi ila sasa wasweden wamerudi tena wanalialia kuwa serikali ya Iraq imeshindwa kuzuia vijana kuchomq ubalozi zaidi tena inemfukuza balozi wa sweden ndio hapo simple tu wote wawili yaani sweden a iraq wametekeleza uhuru wa maoni kutoka kwq watu wao kwa hio wachukulie pa tu watulie wasiendeleze ulalamishi.
Ndio wavumilie demokrasia ya Iraq wale wa iraq wanahaki ya kujieleza na serikali yao imeliona hilo kwa kuwa kwao wanadefinition zao za uhuru wa kujieleza hawawezi kufuata value na mila za kiswedish kutawala jamii ya watu wa baghdad.Sababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.
Ukichoma ubalozi wa mwenzio, ushatoka kwenye uhuru wa kujieleza, umeingia kwenye kuharibu mali za wengine.
Iko wapi hiyo sheria Iraq? Wapi sheria za Iraq zinaruhusu balozi zichomwe moto kama sehemu ya freedom of expression?Ndio wavumilie demokrasia ya Iraq wale wa iraq wanahaki ya kujieleza na serikali yao imeliona hilo
Kamulize balozi aliyetimuliwa maana serikali imetimua balozi badala ya kukamata vijana waliochoma sasa unahitaji uone nini ili uelewe.Iko wapi hiyo sheria Iraq? Wapi sheria za Iraq zinaruhusu balozi zichomwe moto kama sehemu ya freedom of expression?
Aah,Kamulize balozi aliyetimuliwa maana serikali imetimua balozi badala ya kukamata vijana waliochoma sasa unahitaji uone nini ili uelewe.
Hahaaaa je ni sawa kwa mwezi june kwenda kuchoma quran nje ya msikiti pale sweden hata kama ni kitabu chako si uchome nje ya bustani yako ni sawa kwenda kuchoma quran nje ya ubalozi wa iraq sweden pale stockholmAah,
Kumbe unaongelea mambo ambayo huyajui. Unajitungia habari tu.
Kamuulize Waziri wa Sheria wa Sweden.Hahaaaa je ni sawa kwa mwezi june kwenda kuchoma quran nje ya msikiti pale sweden hata kama ni kitabu chako si uchome nje ya bustani yako ni sawa kwenda kuchoma quran nje ya ubalozi wa iraq sweden pale stockholm
Ila wairaq kwa kujua watu wao ni wadini zote wakristo,wayahudi na waislamu shia, sunni wakaona dawa ni moja kutia adabu serikali ya sweden isio na adabu vijana wamechoma balozi ya sweden kwa kuwa serikali ya sweden iliruhusu hayo yafanyike mbele yao wao wameona usiwaudhi watu wa dini nyingine duniani mfano wayahudi au wakristo kwa kuchoma biblia halafu unawaudhi dunia nzima wakati wafanya maamuzi ni wasweden then tia moto ili wakajifunze maana hawajitambui wanalea lea mambo ya ajabu.
Huyu hatumuulizi ila aache kulialia wao wamefanya maamuzi na wenzao wamefanya maamuzi watulie tu wasidhani duniani wenye akili ni wao tu .Kamuulize Waziri wa Sheria wa Sweden.
Naona hatuwezi kuelewana.Huyu hatumuulizi ila aache kulialia wao wamefanya maamuzi na wenzao wamefanya maamuzi watulie tu wasidhani duniani wenye akili ni wao tu .
Hapa nacho sema hata kama Allah angekuwa ni mungu wa kipagani ..... Inafaa kuheshimu dini ya wanao muamini !!! Kuchoma Quran yao ni kitendo cha chuki !!!Hujathibitisha Allah yupo.
Na Waislamu wakiaminini ujinga, watu wengine wana haki ya kuwachukia kwa kuamini ujinga.
Imani yangu tofauti nayakoImani yako ni potofu.