Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

Uhuru wa kujieleza. Marekani huwa wanachoma bendera yao, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Kwani wakichoma Quran, Allah atakufa?

Mbona watu wanakuwa sensitive hivyo?

Ile Quran si makaratasi tu?

Au mnaabudu Quran?

Waislamu wanamuabudu Allah au wanaiabudu Quran?
Ila hao jamaa ni wapuuzi uhuru wa kujieleza kwa kuwaudhi watu wengine si wachukue vya kwao wachome halafu wairaq nao wakitumia uhuru wao wa kujieleza kuwachomea balozi zao wanakimbilia UN watulie tu huku nchi nyingine nazo zikitumia uhuru wao wakujieleza . Sio sawa kuchoma kitabu chochote cha imani iwe budha iwe bible iwe quran na muhimu kuheshimu vya wengine la sivyo hautaheshimiwa.
 
Mkuu,

Unaelewa jinsi wewe unavyoona wanatumia uhuru wao kuwaudhi wengine na wao wanakuona wewe unawaudhi wao kwa kuudhika wao wakitumia uhuru wao?

Wanakuona hujaelewa dhana ya uhuru wa kujieleza bado.
 
Ndio watulie na pia wawelewe vizuri wale vijana wa wairaq walipotumia uhuru wao wa kujieleza kuchoma balozi zao.
 
Ukichoma Quran ambayo ni mali yako Sweden, Quran umeinunua/ mali yako, upo ndani ya uhuru wa kujieleza.

Ukichoma Quran ya mwenzako bila idhini yake Sweden, Quran ambayo hujainunua umetoka kwenye uhuru wa kujieleza, umechoma mali ya mtu mwingine.

Ukichoma ubalozi wa mtu napo umetoka kwenye uhuru wa kujieleza, umechoma mali ya mtu mwingine na mkondo wa sheria utachukuliwa dhidi yako.
 
Kwa iraq ni uhuru wao wa kujieleza na wala hawajawafanya kitu kama vile wa sweden kwa hiyo waendelee tu kuwa wavumilivu.
 
Hii sentensi hata sijaielewa.
Kwa wa sweden serikali inasema kuchoma ni uhuru wa kujieleza na wao pia serikali ya iraq waliacha vijana wakachoma ubalozi wa sweden ktk ile kulinda uhuru wa raia kujieleza hisia zao, sasa wasweden wamerudi tena wanalialia kuwa serikali ya Iraq imeshindwa kuzuia vijana kuchoma ubalozi zaidi tena imemfukuza balozi wa sweden baghdad ndio hapo simple tu wote wawili yaani sweden na iraq wametekeleza uhuru wa maoni kutoka kwq watu wao kwa hio wachukulie poa tu watulie wasiendeleze ulalamishi.
 
Kwa wa sweden serikali inasema kuchoma ni uhuru wa kujieleza na wao pia serikali ya iraq waliacha vijana wakachoma ubalozi ila sasa wasweden wamerudi tena wanalialia kuwa serikali ya Iraq imeshindwa kuzuia vijana kuchomq ubalozi zaidi tena inemfukuza balozi wa sweden ndio hapo simple tu wote wawili yaani sweden a iraq wametekeleza uhuru wa maoni kutoka kwq watu wao kwa hio wachukulie pa tu watulie wasiendeleze ulalamishi.
Sababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.

Hata Sweden ukichoma moto Quran isiyo yako unaweza kushitakiwa kwa kuchoma moto mali ya mwingine.

Ukichoma ubalozi wa mwenzio, ushatoka kwenye uhuru wa kujieleza, umeingia kwenye kuharibu mali za wengine.
 
Sababu ni simple, unaruhusiwa kujieleza kwenye mali yako. Hao wanaochoma Quran ni Quran zao.

Ukichoma ubalozi wa mwenzio, ushatoka kwenye uhuru wa kujieleza, umeingia kwenye kuharibu mali za wengine.
Ndio wavumilie demokrasia ya Iraq wale wa iraq wanahaki ya kujieleza na serikali yao imeliona hilo kwa kuwa kwao wanadefinition zao za uhuru wa kujieleza hawawezi kufuata value na mila za kiswedish kutawala jamii ya watu wa baghdad.
 
Ndio wavumilie demokrasia ya Iraq wale wa iraq wanahaki ya kujieleza na serikali yao imeliona hilo
Iko wapi hiyo sheria Iraq? Wapi sheria za Iraq zinaruhusu balozi zichomwe moto kama sehemu ya freedom of expression?
 
Kamulize balozi aliyetimuliwa maana serikali imetimua balozi badala ya kukamata vijana waliochoma sasa unahitaji uone nini ili uelewe.
 
Aah,

Kumbe unaongelea mambo ambayo huyajui. Unajitungia habari tu.
 
Hahaaaa je ni sawa kwa mwezi june kwenda kuchoma quran nje ya msikiti pale sweden hata kama ni kitabu chako si uchome nje ya bustani yako ni sawa kwenda kuchoma quran nje ya ubalozi wa iraq sweden pale stockholm
Ila wairaq kwa kujua watu wao ni wadini zote wakristo,wayahudi na waislamu shia, sunni wakaona dawa ni moja kutia adabu serikali ya sweden isio na adabu vijana wamechoma balozi ya sweden kwa kuwa serikali ya sweden iliruhusu hayo yafanyike mbele yao wao wameona usiwaudhi watu wa dini nyingine duniani mfano wayahudi au wakristo kwa kuchoma biblia halafu unawaudhi dunia nzima wakati wafanya maamuzi ni wasweden then tia moto ili wakajifunze maana hawajitambui wanalea lea mambo ya ajabu.
 
Kamuulize Waziri wa Sheria wa Sweden.
 
Hujathibitisha Allah yupo.

Na Waislamu wakiaminini ujinga, watu wengine wana haki ya kuwachukia kwa kuamini ujinga.
Hapa nacho sema hata kama Allah angekuwa ni mungu wa kipagani ..... Inafaa kuheshimu dini ya wanao muamini !!! Kuchoma Quran yao ni kitendo cha chuki !!!
Imani inadumu miaka na miaka karne na karne !!! Ni ngumu mtu kubadilika !!! So Kinachobaki ni kwamba watu HAWAJUI WALIFANYALO sio kosa lao kwa sababu hiyo tunapaswa TUWAHESHIMU tu hawa jamaa waislamu tuwapende na Tusichome Quran , wanafanya hivyo kwa utukufu wa Allah wanayenamini kwamba ni muumba wa kila kitu...sio kosa lao
 
Imani yako ni potofu.
Imani yangu tofauti nayako
Naamini ww hapo mwanzo ulikua unaamini uwepo wa Mungu
Sababu ww ulimfata mtu akakupotoa kuwa hakuna Mungu na ukamuamini kwa kukutolea mifano iliyoandikwa kwa kitabu tena kilichoandikwa na binaadamu Kama ww
 
Back
Top Bottom