Tunaomba Hamasi waachie mateka hao ili kuepusha umwagaji damu pale Palestine, nchi za kiarabu ndo maana mnakosa sapoti ya nchi za Magharibi, huwezi kutetea eti Palestine wanaonewa na wakati Hamas ameshikilia mateka, na ndo ameanza mashambulizi. Israel hawezi kutishwa na ujanja ujanja na propaganda, anajua akiwachekea hamasi na kuogopa ndo mwanzo wa kuangamia Kwa wayahudi pale Israel, kesho tena watashambulia na kwenda kujificha kwenye hospital, shule, makanisa na misikiti, akishambulia tu lawama.Naye amekusudia kuitumbukiza Israel shimoni.
TakbiirNaye amekusudia kuitumbukiza Israel shimoni.
Vita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.Tunaomba Hamasi waachie mateka hao ili kuepusha umwagaji damu pale Palestine, nchi za kiarabu ndo maana mnakosa sapoti ya nchi za Magharibi, huwezi kutetea eti Palestine wanaonewa na wakati Hamas ameshikilia mateka, na ndo ameanza mashambulizi. Israel hawezi kutishwa na ujanja ujanja na propaganda, anajua akiwachekea hamasi na kuogopa ndo mwanzo wa kuangamia Kwa wayahudi pale Israel, kesho tena watashambulia na kwenda kujificha kwenye hospital, shule, makanisa na misikiti, akishambulia tu lawama.
Jana Kuna Profesa wa USA amesema Israel itashinda Vita Ila itapoteza eneo la Gaza,huyu sio Muislamu Ni kafir wa kutupwa.Hamuwezi kushinda hata kwa 05%
Sahihi.Hauko mbali lakini wengi hawajui.Haijapata kutokea Allah akawapa ushindi watu wanaoruhusu ushoga na wenye kuuwa watu na kuteka ardhi za watu bila sababu.
Kombora la Islamic jihads lilifeli kwenda Israel likaangukia Hospital ya Gaza sasa mnamsukumia lawama Israel wafia dini acheni uwongo na unafiki kutafuta hurumaVita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.
Hizi elimu zenu za madrasa na stori zenu mnazodanganyana redio imaniJana Kuna Profesa wa USA amesema Israel itashinda Vita Ila itapoteza eneo la Gaza,huyu sio Muislamu Ni kafir wa kutupwa.
Lakini Maandiko ya Allah anasema hakitasimama kiama mpaka Muislamu amuue myahudi,weka akilini kwamba Myahudi lazima atapoteza tu kwa mpalestina hata Kama sio leo.
watu wanafikiri ushindi utakwenda kwa Israel na Marekani na Uk ili baada ya hapo wapate kibri zaidi za kufanya kufru.Sahihi.
Hamas kaua raia 1300 wa Israel, wewe unaona huo siyo ukafiri?Vita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.
Hiyo habari umepika mzee,wewe na vyombo vya kimagharibi vinavyo ripoti mubashara Nani mkweli?Kombora la Islamic jihads lilifeli kwenda Israel likaangukia Hospital ya Gaza sasa mnamsukumia lawama Israel wafia dini acheni uwongo na unafiki kutafuta huruma
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Israel kauwa wapalestina wangapi Tangu unapata kufahamu mgogoro wa mashabiki ya Kati?Hamas kaua raia 1300 wa Israel, wewe unaona huo siyo ukafiri?
We falla unapigana vita ukiwa Buza wenzako wako mashimoni Gaza na hawana chakulašShekh tulia sasa,unajiongelesha sana.