F9T
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,677
- 4,959
Netanyahu aliwaambia wapalestina anataka kuwapa kichapo ambacho kukisahau haiwezekani Ili siku nyingne wakiwaona vibaka wa HAMAS wawaripoti kwenye mamlaka za Israel.Sawa hamna shida,zipigwe tu.Ma hao HAMAS waje live na sio kujificha zichapwe.
Halafu hawa Palestina wanaonekana woteee ni HAMAS tu.Maana wanakuwa nao ktk shule,hospitals n.k.Kwanini wasiwaweke wazi?
Au waanze kupambana nao na kuwamaliza kabisa?
Jiulize.
Halafu uliona vile Palestina walifurahia mauaji ya kwenye tamasha la Nova? Inashangaza sn
Rafiki wa gaidi ni gaidi pia . Haijarishi ni mtoto au mwanamke akung'utwe tu hamna namna 😂😂😂😂😂