Hawa wakristo sio wote wengi wao karibu 90% wanadhani vita ni kupiga majumba, shule, hospital, misikiti, makanisa, bakery, kuuwa watoto, wanawake, kupiga magari ya ambulance [emoji23]
Hamasi ni wazee wa kazi hawajau hata civilian mmoja wote walio wauwa walikuwa askari, hizo propoganda za Western walichukua watoto wa Palestine badaye wakaona wameonyesha watoto wa kipalestine wakazifuta haraka, kama yule msemaji wa Natanyahau alijivuna kuwa Israel Air force wame strike base ya Hamasi kwenye hospital badaye akasingizia eti ni Reuters ndio walisema sio yeye, afu walajidai badaye eti missile imejam [emoji23]
Jeshi gani hilo linaogopa kuingia Gaza ka mji hata km 40 hakafiki na wao wako 300,000 na vifaru na kila aina ya silaha wanaogopa Hamasi hawafiki hata 3000 [emoji23] Leo pia US kashusha jeep na muingereza kawapelekea silaha sijui wanataka nini au pampers zimewaishia [emoji23]