Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak naye aishia kutua Tel Aviv. Awatakia ushindi Israel

Vita ni vita haina huruma so msitie huruma mmelianzisha
 
Joined October 10
 
Kambi mbili kubwa za kijeshi kuanzishwa Ghaza, Jeshi la Marekani na Jeshi lenye nguvu zaidi la uingereza. Lengo ni kuhakikisha Ghaza iko salama na amani wakati wote.
 
Hayo maandiko ya wap?
 

Waarabu wa Palestina wana umaarufu gani duniani?
 
Kama huyo ni mkiristo halafu mmagharibi sishangai. Walidhani uislam duniani utaondoka lkn ndio kwanza unaimarika
 
Vita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.
kama hawapigwi hamas na wanapigwa watoa huduma , bas wajibu huko walipo
 
duh miaka 1000 yote mlishindwa nin kuwamaloza
 
Kama magaidi wa Hamas ni waislam basi hiyo dini si ya Mungu wa kweli
Hata Mandela aliitwa gaidi na Amerika. Hata chadema wanaitwa magaidi . Kikubwa nani anakwita gaidi na kwa mtazamo gani.
Waislam na wapenda haki duniani wanaamini Palestina wanapigania ardhi yao ilioporwa na mayahudi na magharibi. Wanapiga masjid Aqswa ibaki salama. Magharibi na wewe ndio unasema hao ni magaidi
 
ww ulikuwa unashangilis trh 7 mwez huu wa 10 , leo unasema mungu ndo kawapa , siku kihama utajibu hz lawama unammpa allah wenu wkt ugomv mliutafuta wenyew
 
Kama huyo ni mkiristo halafu mmagharibi sishangai. Walidhani uislam duniani utaondoka lkn ndio kwanza unaimarika
Nani kakudanganya kuna watu wanataka kuondoa uislamu tatizo lenu mmepandikwa unafiki na uongo uislamu utaondoshwa vile ni vita vya Israel kujilinda wala hana muda kuufuta uislamu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje muislam mwenzetu Egypt hafungulii ndugu zetu wapalestina civilians waingie ?
Majeshi ya hamass yapo yanaisubiri Isreal na magharibi waingie arching ili wajue kwamba waislam wanataka masjid Aqswa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…