ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Hata Russia akipiga raia wa Ukraine anasema hivi hivi kuwa sio yeye ni wa Ukraine wenyewe wamejipiga, sasa unatarajia Israel akubali kuua raia wale wote kirahisi tu?Kombora la Islamic jihads lilifeli kwenda Israel likaangukia Hospital ya Gaza sasa mnamsukumia lawama Israel wafia dini acheni uwongo na unafiki kutafuta huruma
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Mungu gani huyo anashabikia mauaji kwa viumbe wake alivyo viumba na itikadi kama hizi ndio chazo cha machafuko hapo middle East. Maandiko ya MUNGU yanasema pendaneni,watakieni heri wale wanao wauzi.Jana Kuna Profesa wa USA amesema Israel itashinda Vita Ila itapoteza eneo la Gaza,huyu sio Muislamu Ni kafir wa kutupwa.
Lakini Maandiko ya Allah anasema hakitasimama kiama mpaka Muislamu amuue myahudi,weka akilini kwamba Myahudi lazima atapoteza tu kwa mpalestina hata Kama sio leo.
Kwani kabla ya hao mateka kutekwa damu za wapalestina zilikuwa hazimwagiki?Tunaomba Hamasi waachie mateka hao ili kuepusha umwagaji damu pale Palestine, nchi za kiarabu ndo maana mnakosa sapoti ya nchi za Magharibi, huwezi kutetea eti Palestine wanaonewa na wakati Hamas ameshikilia mateka, na ndo ameanza mashambulizi. Israel hawezi kutishwa na ujanja ujanja na propaganda, anajua akiwachekea hamasi na kuogopa ndo mwanzo wa kuangamia Kwa wayahudi pale Israel, kesho tena watashambulia na kwenda kujificha kwenye hospital, shule, makanisa na misikiti, akishambulia tu lawama.
Magaidi wa hamas na allah wote wanapewa kipigo cha mbwa koko huko gaza.watu wanafikiri ushindi utakwenda kwa Israel na Marekani na Uk ili baada ya hapo wapate kibri zaidi za kufanya kufru.
Huu ni mtihani mdogo tu kwa mataifa ya kiislamu ambapo kushindwa kwao kuonesha umoja wa kweli na Palestina wala hakutapelekea Allah s.w kuwapa ushindi wanyonge wanaoonewa kwa namna azijuwazo mwenyewe.Silaha kama makombora na nyuklia ni vitu vidogo sana kwake na ameviumba kama mtihani kwa wanadamu
Hawa wakristo sio wote wengi wao karibu 90% wanadhani vita ni kupiga majumba, shule, hospital, misikiti, makanisa, bakery, kuuwa watoto, wanawake, kupiga magari ya ambulance πVita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.
yeye mwenyewe atakuwa motoni hivyo si ajabu hilo unalosemaNyinyi kakuandalieni moto
Kumbe Alah anawachukia wayahudi!!Jana Kuna Profesa wa USA amesema Israel itashinda Vita Ila itapoteza eneo la Gaza,huyu sio Muislamu Ni kafir wa kutupwa.
Lakini Maandiko ya Allah anasema hakitasimama kiama mpaka Muislamu amuue myahudi,weka akilini kwamba Myahudi lazima atapoteza tu kwa mpalestina hata Kama sio leo.
Huyo alsis mwenyewe historia yake haimpi unafuu, akizingua anatafutiwa zengwe anabutuliwa tena na haohao wa misri wenzake kama ilivyokuwa kwa ghadafi so atulize mshono.Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri kwa mara nyingine tena ametangaza kuwa Cairo inaliunga mkono taifa la Palestina na msimamo wake huo ni thabiti na inapinga mpango wa Marekani na Israel wa kuwahamishia Wapalestina kwenye jangwa la Sinai.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumatani akiwa pamoja na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz mjini Cairo, Sisi amesema: "Tunapinga kuhamishwa Wapalestina kutoka katika ardhi yao."
Vile vile ameelezea wasiwasi wake kwamba kuongezeka mashinikizo ya kutaka kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Ghaza na kuwapeleka Sinai Misri, ni jambo lisilokubalika kabisa.
Katika sehemu nyingine ya matamshi yake, Rais huyo wa Misri amesema: "Kuhamishiwa Sinai Wapalestina kuna maana ya kuhamishia mashambulizi dhidi ya Israel ndani ya ardhi ya Misri, na jambo hilo linatishia amani ya muda mrefu kati ya Misri na utawala wa Kizayuni
Hapa unasema inasifika ...Kisha mwisho unasema imefifishwa...ndugu zangu waislam katika Imani, huu mvutani wa Gaza na Israel wakulaumiwa na kikundi Cha Hamas, Hawa watu ukitaka kujua ni Tatizo hata nchi jirani kama Misri, Lebanon, Syria na Iran wamekaa kimya kuhusu mpango wa kuwasaidia Hawa watu...na mbaya zaidi hata serikali ya mamlaka ya Palestine imekaa kimya...vikundi vingine vya jihads kama Hezbollah nako wamekaa kimya ...Nini....Israel inavyosifika kwa Mambo ya Teknolojia,kilimo,afya,ujenzi
walipoua watu kwenye tamasha la nova , ulitaka waachwe?Swali la msingi palatina wameonewa hata bint yako yule analifaham hilo hayo mengine ni porojo tu
Vita gani ya kushambulia wacheza disco? pia msiwapangie Israel Cha kufanya, vita ni vita, mkiona inawafaa ingia vitani ukawasaidie Hamas.Vita gani ya kushambulia watoa huduma za afya,waandishi wa habari na watoto acheni ukafiri.
πππWe falla unapigana vita ukiwa Buza wenzako wako mashimoni Gaza na hawana chakulaπ
Napenda Sana misimamo ya Netanyahu. Jamaa anapanga yeye ni wakati Gani watu wa Gaza wapelekewe misaada Tena Kwa muda maalum hapangiwi . Misimamo ya kibabe Sana πππWaziri mkuu wa Uingereza Rish Sunak amemuomba Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu aruhusu kuingia Gaza Misaada ya kibinadamu
Netanyahu amesema dunia inapitia zama za giza
Source BBC news
Jana Kuna Profesa wa USA amesema Israel itashinda Vita Ila itapoteza eneo la Gaza,huyu sio Muislamu Ni kafir wa kutupwa.
Lakini Maandiko ya Allah anasema hakitasimama kiama mpaka Muislamu amuue myahudi,weka akilini kwamba Myahudi lazima atapoteza tu kwa mpalestina hata Kama sio leo.
Hata kama ni wewe mkuu huwezi mkaribisha chatu nyumbani kwako .Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri kwa mara nyingine tena ametangaza kuwa Cairo inaliunga mkono taifa la Palestina na msimamo wake huo ni thabiti na inapinga mpango wa Marekani na Israel wa kuwahamishia Wapalestina kwenye jangwa la Sinai.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Jumatani akiwa pamoja na Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz mjini Cairo, Sisi amesema: "Tunapinga kuhamishwa Wapalestina kutoka katika ardhi yao."
Vile vile ameelezea wasiwasi wake kwamba kuongezeka mashinikizo ya kutaka kuwahamisha Wapalestina kutoka Ukanda wa Ghaza na kuwapeleka Sinai Misri, ni jambo lisilokubalika kabisa.
Katika sehemu nyingine ya matamshi yake, Rais huyo wa Misri amesema: "Kuhamishiwa Sinai Wapalestina kuna maana ya kuhamishia mashambulizi dhidi ya Israel ndani ya ardhi ya Misri, na jambo hilo linatishia amani ya muda mrefu kati ya Misri na utawala wa Kizayuni
Hata Mandela aliitwa gaidi na Amerika. Hata chadema wanaitwa magaidi . Kikubwa nani anakwita gaidi na kwa mtazamo gani.
Waislam na wapenda haki duniani wanaamini Palestina wanapigania ardhi yao ilioporwa na mayahudi na magharibi. Wanapiga masjid Aqswa ibaki salama. Magharibi na wewe ndio unasema hao ni magaidi
Netanyahu akiongea jambo Huwa harudii mara mbili mbili .Ukweli mchungu huu,
Israel waendelee kupiga tu
Club ant religion wanavyoshirikiana....
Hawa wakristo sio wote wengi wao karibu 90% wanadhani vita ni kupiga majumba, shule, hospital, misikiti, makanisa, bakery, kuuwa watoto, wanawake, kupiga magari ya ambulance [emoji23]
Hamasi ni wazee wa kazi hawajau hata civilian mmoja wote walio wauwa walikuwa askari, hizo propoganda za Western walichukua watoto wa Palestine badaye wakaona wameonyesha watoto wa kipalestine wakazifuta haraka, kama yule msemaji wa Natanyahau alijivuna kuwa Israel Air force wame strike base ya Hamasi kwenye hospital badaye akasingizia eti ni Reuters ndio walisema sio yeye, afu walajidai badaye eti missile imejam [emoji23]
Jeshi gani hilo linaogopa kuingia Gaza ka mji hata km 40 hakafiki na wao wako 300,000 na vifaru na kila aina ya silaha wanaogopa Hamasi hawafiki hata 3000 [emoji23] Leo pia US kashusha jeep na muingereza kawapelekea silaha sijui wanataka nini au pampers zimewaishia [emoji23]