Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak naye aishia kutua Tel Aviv. Awatakia ushindi Israel

Netanyahu aliwaambia wapalestina anataka kuwapa kichapo ambacho kukisahau haiwezekani Ili siku nyingne wakiwaona vibaka wa HAMAS wawaripoti kwenye mamlaka za Israel.
Rafiki wa gaidi ni gaidi pia . Haijarishi ni mtoto au mwanamke akung'utwe tu hamna namna 😂😂😂😂😂
 
Inakuwaje muislam mwenzetu Egypt hafungulii ndugu zetu wapalestina civilians waingie ?
Nadhani watu wengi wanaongelea haya mambo bila kujuwa sababu za msingi. Lebanon, Syria na Jordan 1948 walifanya kama unalotaka Egypt afanye kufungulia wakimbizi leo baada ya kuondolewa na Israel maeneo yao, matokeo wale wamebaki kwenye kambi za wakimbizi toka 1948 mpaka leo, na Israle alifanya nini? akaleta settlers kuchukua ardhi zao. Anachotaka kufanya na Egypt ndio kama 1948 kuwa wafungulieni wakimbizi wakiingia Egypt wanachukua Ghaza na kuwapa settlers na kufunga hakuna kurudi hata Jordan kasema this time hakuna mtu kuingia toka west bank kukichafuka. Israel anataka kuchukua kilichobaki Ghaza na West bank awe amechukua ardhi yote iliyobaki ila this time watu wameshtuka, Ndio maana Rais wa Egypt kasema wanaweza kuwafungua kwenye jangwa la Israel kwa muda wakimaliza operation yao wawarudishe.

Hata hizi story wayahudi 1300 sijui wameuliwa ni propaganda tu, ni kweli watu wamekufa lakini number ndogo sana ila wanataka support, media zote main stream ambazo karibia zote zinamilikiwa na mayahudi utasikia mauwaji mabaya sana baada ya holocausts kila siku maneno ni hayo hayo ili kujaza watu uongo waamini. Ni kama kila ukifungua TBC unasikia CCM number one huko kijijini wanaamini number one. Na hawa CNN sijui BBC ukifungua tu Holocausts
 
Huyo allah ni wa ajabu kweli..ndiye anayewatuma kufanya ujinga?
 
Aisee kweli waislamu ni rahisi kuwajaza ujinga vichwani mwao..leo hii mmeacha kumpigania allah?
 

Umuhimu wa kidini wa Msikiti wa al-Aqsa​

Kwa Waislamu , msikiti wa al-Aqsa uliopo mjini Jerusalem ndio eneo la tatu kwa utakatifu.
Msikiti wa Al Aqsa ndio uliokuwa ukitumiwa kama qibla{Eneo ambalo Waislamu hutazama wanaposali} kwanza kabla ya kibla kwenda Mecca.
Ukarabati wa jengo hilo uliofanyika katika karne ya 7 , unaaminika na Waislamu kuwa eneo ambalo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
 
Hao Hamas ni wapumbavu ,ACHA wapigweeee
 
Misri hataki magaidi kwenye nchi yake
 
Eti magaidi?
Waislam wanataka ardhi yao yenye masjid Aqswa
We kweli kilaza habari si umeileta wewe mwenyewe hapa.Anasema wakazi wa Gaza wakihashiwa Sinai mashumbulizi ya Israel yatahamia Sinai ambapo ni ndani ya mipaka ya Misri..Kwanini mashambulizi yahamie huko? Usiwe kichwa panzi kwa sababu habari umeileta wewe mwenyewe.
 
Haha. Msalaba unakusumbua. Halafu unaliena kuwapenda mayahudi ndio suluhu ya maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…