Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

Ongezeko gani halipo? Hujaona formula iliyotumika?
Formula ipi mkuu hembu iweke hapa Kuna kitu kinaitwa increment waachane na hilo ongezeko la rais..
Increment ya mwka ni kubwa mara dufu ya hilo ongezo la rais la 23 perc..ni Bora wangeweka increment wakaachana na hilo ongezeko..
Magu ndio alizuia increment miaka yake yote mtu ungekuta umepanda parefu tu..
Na increment ipo kisheria ila hakuna Sheria inamlazimisha rais kuongeza mshahara.
 
Hivi tukisema pesa ya nyongeza ya mishahara haitoshi watanzania hawatakuelewa? Mbona kwa muda mrefu sana wameelewa? Hivi sifa za kijinga za nini?
 
Duh Mungu tunampa kazi sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa nini asishukuru ikiwa kapata nyongeza hiyo ndani ya miezi 12 tu tangu apandishwe madaraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, amesema serikali inapopandisha mishahara inaangalia zaidi kima cha chini na kwamba asilimia 23 iliyosemwa na Rais Samia Suluhu siku ya Mei Mosi iliwalenga zaidi wenye kipato cha chini.

“Asilimia 23 iliyotamkwa haijalipwa kwa watumishi wote, fomula iliyotamkwa si wote mpaka wenye mishahara mikubwa, walionufaika ni wenye mishahara midogo.-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ufafanuzi nyongeza ya mishahara.”

“Hao wanaosema tumeongeza sh 20 ni wenye mishahara mikubwa, wako kwenye asilimia 22, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mameneja, Wakurugenzi na Wakuu wa Mikoa ambao kidogo wana mshahara unaotosha” Mhe. Majaliwa, akifafanua nyongeza ya mishahara.
 
Yai Kabisa huyu.
.huyu waziri nishawahi semahana mvuto hana upeo, Hana hata utulivu, mifumuko ya bei na ongezeko la gharama ya maisha kila kona anatetea upuuzi??

20,000 ni shilingi ngapi ? Mwendazake alituonhezea 50,000 mbona anaafadhali sana
 
Kwa hiyo hao wenye mishahara mikubwa hiyo 20,000 ni % ya mishahara yao?

Kwa nini hawakusema range ya % watakayoongeza?

Tanzania nchi yangu, jina lako ni tamu sana
 
Na hapohapo Sri Lanka baada ta viongozi wapya kuingia madarakani wakatumia mtutu kuwa sambaratisha wananchi.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini asishukuru ikiwa kapata nyongeza hiyo ndani ya miezi 12 tu tangu apandishwe madaraja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya hiyo miezi 12 Kuna matukio ya hatar kwenye uchumi. Rais aliidhinisha bil 100 zende kwenye mafuta zilimsaidia nini mtumishi, vitu vimepanda bei, Hapo bado hajakutana na tozo za miamala,VAT ya 18% kwa kila manunuzi,kupanda kwa bei za bidhaa na huduma kwa karibia 60% miaka 5
 
Hiyo annual increment si iliondolewa na marehemu baba yenu,leo ndiyo mnajua kuwa imeondolewa!?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanyabiashara mmetuongezea nini?
 
KINA HALIMA NA GENGE LAKE LICHA YA KUWA SIO WABUNGE WANALIPWA MAMILIONI NCHI YA AJABU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…