Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Hizo data kapata wapi..wasitake kumfanya Magu Ni mtu maarufu sana kuliko hata Mandela! Maana anataka kusema robo tatu ya dunia walimwangalia!! Bull shit!
Acha tu mkuu,yaani kuna mijitu mijinga humu yaani hadi unashangaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Warekebishe hawa mkuu
 
Vp wwe ushachoma Chanjo ya Corona!?
 
Ila Tanzania[emoji1787]
 
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
wewe jamaa ni mtumwa wa akili yani kujifukizia ni ushirikina inaelekea umekulia town jifunze kutofautisha wa wapigaramli na mitishamba
 
wewe jamaa ni mtumwa wa akili yani kujifukizia ni ushirikina inaelekea umekulia town jifunze kutofautisha wa wapigaramli na mitishamba
Hivi wewe usiye mtumwa wa akili,akili inakutuma kabisa kwamba mataifa kama USA,ITALY, ISRAEL, RUSSIA,IRAN,UAE, GREAT BRITAIN, SPAIN, BRAZIL,FRANCE NA GERMANY ambako wamekufa mamia kwa maelfu ya watu wataalam wake wa afya hawajui matumizi ya TANGAWIZI,KUJIFUKIZA NA LIMAO kuokoa raia wao?

Ujinga huu uishie kwako,ukiwaambukiza watoto watashindwa hata kuvuka barabara.
 
huyu PM nilikuwa namuona mtu wa maana kumbe hovyo tu. kuna watu wana madaraka makubwa lakini weupe
Hata kama aliongopewa na yeye ilitakiwa achanganye na za kwake....Viewers bilioni 3.4 sijui 3.9 kwa siku ni masihara hayo....Kwenye uapizo tu wa kina obama/joe biden hawakuvuka live streaming 35m wakati USA tu kuna population ya 300m+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…