Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
basi bongo tungekufa maelfu maana hatukuwa na service zote za viwango vya juu Wala kuvaa barakoa.Hivi wewe usiye mtumwa wa akili,akili inakutuma kabisa kwamba mataifa kama USA,ITALY, ISRAEL, RUSSIA,IRAN,UAE, GREAT BRITAIN, SPAIN, BRAZIL,FRANCE NA GERMANY ambako wamekufa mamia kwa maelfu ya watu wataalam wake wa afya hawajui matumizi ya TANGAWIZI,KUJIFUKIZA NA LIMAO kuokoa raia wao?
Ujinga huu uishie kwako,ukiwaambukiza watoto watashindwa hata kuvuka barabara.
Muwe mnaacha uongo hiyo handle haiko verified
Parody account .Hii ni hapa ya juzi. Jemedari amevutia watu wengi duniani kwa uchapakazi wake! Haya pingana na hawa mabeberu!!
View attachment 1732537
World population statistics [emoji116]Hivi population ya dunia ni ngapi mpaka leo maana huenda ni wachache tu ambao hawakuona.
Vipi ile aliyoitoa msikitini mkuu??Kwanini mkuu maana ana taarifa nyingi sana huenda ni kweli.
Atupe tu za siku moja ambayo ni masaa 48 waliangalia watu wangapi tuanzie apo kwanza tuta jumlisha wenyewe!Tupatie taken zako basi...inaelekea unateseka Sana.
.tupatie takwimu unazodhani ni sahihi..
Hawa mnaowaita mabeberu siyo??Habari hiyo imeripotiwa kwanza na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani na sio Tanzania.
Shangaa na wewe Mkuu nayambia yanazidi kubisha.Muwe mnaacha uongo hiyo handle haiko verified
Mambo mengine fanyeni siri wajameni mbona mna maswali ya kinoko sana 😂Vipi ile aliyoitoa msikitini mkuu??
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kudanganya kuhusu 3.9b? Hivi unaijua Biii wewe?Angalia data hiyoView attachment 1732581
Acha tu mkuu,yaani kuna mijitu mijinga humu yaani hadi unashangaaa[emoji1787][emoji1787]
Huyo mkenya anaemiliki hiyo account tweeter ni tapeli hapo kesha piga mpunga kwa hii serikali sijui kwa nini hii serikali inapenda data za kupika! Mtu mwenyewe amejipachika u sir neo waziri mkuu kumwamini kwenye msiba huu ni ngumu sana.Data hazidandanganyi View attachment 1732592
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
Sema wewe mkuu
Hivi wewe usiye mtumwa wa akili,akili inakutuma kabisa kwamba mataifa kama USA,ITALY, ISRAEL, RUSSIA,IRAN,UAE, GREAT BRITAIN, SPAIN, BRAZIL,FRANCE NA GERMANY ambako wamekufa mamia kwa maelfu ya watu wataalam wake wa afya hawajui matumizi ya TANGAWIZI,KUJIFUKIZA NA LIMAO kuokoa raia wao?
Ujinga huu uishie kwako,ukiwaambukiza watoto watashindwa hata kuvuka barabara.
Unapoongelea bei nafuu usiijumuishe oppo na hizo takataka Tecno na Itel.Mimi naona ni sahihi, kipindi cha Michael Jackson watu wengi hawakuwa na smartphone kuliko sasa kuna Tecno, Infinix, Oppo n. k ambazo zina bei nafuu.
Magufuli kilicho mpa umarufu sana duniani ni ile msimamo wake wa kipekee wa kuikabili CoVID-19.View attachment 1732390
Hv Bado haitoshi kusema uongo mbele za wazanizabri tu watu bilion 3 jmn huyu mzeee cjui anatafuta nn haswa
Eti demonic weapon [emoji23][emoji23] peleka huko akili za kushikiwa,unalishwa ujinga jitu zima unakwenda tu kama kondoo.Corona ni demonic weapon against humanity...
Jitetee kizungu kwa kuita conspiracy kisha kakojoe uendelee kulala