Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Huyu hafai kuwa hata waziri, ccm kwa propaganda za kijinga hawajambo
 
Inawezekama kabisa wakaangalia hao maana it is a death of a covid 19 denying ruler in the world. Alijizolea sifa moja mbaya Sana hiyo.
 
Pale unapojifanya bingwa wa propaganda kuzidi hata China ndio madhara yake haya , ulitegemea nini lazima achanganyikiwe maana walimuona ni kama Mungu wao sasa Mungu wa kweli kafanya yake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…