Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?Sababu ni kuwa ni uongo mtupu, na hakuna mtu wa kumfatilia hata hapo Kenya watu walikuwa busy na mambo yao.
Ni live streaming mkuu inawezekana walihesabu zile ingia toka piaDuh! So nusu dunia ilikuwa ikifuatilia tukio la jana la kuagwa rais wetu mpendwa..tukumbuke dunia inakadiriwa kuwa na watu bilion saba na pointi kadhaa
inashangaza kuona bado zama za kupika namba zinaendelea ..sijui wanafanya hivyo ili wamfurahishe nani.
Je twitter handle yao ni verified?Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?
Sio aliteleza mkuu ni kweli foreign intelligence wametoa hizo data na wanadai kuwa amepiku records za MJ na Princess Diana. Ni live streaming billion 3.4 kama zile za YouTube mkuuNilijua nimesikia peke yangu...alibadilisha akasema kasoro kadhaa ifike milioni 4.
Mdomo kuteleza ni Jambo la kawaida, tuwe wapole
Chanzo za hizo takwimu kazipata wapi?Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Yani nyie mnaleta siasa hadi kwenye maiti!!Watu wa lissu mnaishi maisha ya taabu sana,kumbukeni ukweli hujitenga na uongo..
Hiyo account ni verified na Twitter?Sio aliteleza mkuu ni kweli foreign intelligence wametoa hizo data na wanadai kuwa amepiku records za MJ na Princess Diana. Ni live streaming billion 3.4 kama zile za YouTube mkuu
Unaweza ukaweka Screenshot yake?Kulingana na takwimu za Global intelligence mkuu hata mimi nimeona hilo
Makina nani?Yaani majitu mabishi sana
Mkuu mimi ni nani hadi nimpinge mteule wa Mwendazake?Kwa hiyo hii taarifa mnaipinga wakuu?
Amesema ni 3.9 B
Mkuu MEKO hawezi kupata views hata elfu 5 kwa live streaming, na hata ukiacha miaka 10 bado hawezi kufikisha hata mil 2 views.Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?
Tupe source ambayo inaonesha hao 6 billion hawaijui Tanzania wala Magufuli.Dunia ina watu BILIONI 7.
Kati ya hao BILIONI 6 hawaijui kabisa Tanzania wala Magufuli.
Hao Bilioni 1 wanaobakia kuna vichaa, watoto, watu wa vijijini wasio na tv wala umeme, wanafunzi ambao muda huo walikuwa darasani n.k
NAMBA HAZIDANGANYI.