Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Huo ni upumbavu na pumba kabisa, mi nilijua watasema wataimport technology ya kutengeneza magari kutoka Rwanda, but kirahisi uku akismile anasema watakuwa wananunua magari Duuh aibu Gani hii.
 
Tatizo lilichangiwa pia na Nyerere, kina mwinyi na mkapa wamekuta nchi ipo hoi ndio mana yanatokea haya kwa mfano unaambiwa wakati wa Nyerere na mwinyi mwanzoni kununua gari ilikua mpaka kibali upate ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, lakini tunakaribia miaka 40 tangu Nyerere atoke madarakani.... tumuache apumzike.
 
Naweza kusema hii nchi imelaaniwa..ni aibu hii aibu kubwa sana...nafikiri kuanza kuhama hii nchi ili wanangu wasizaliwe kwenye hii nchi iliyotiwa laana..naombeni uelekeo ndugu zanguni.

#MaendeleoHayanaChama

Hamia Burundi Mwigulu ameshaweka nafasi kule.
 
Marehemu Mengi alikua na mpango mkakati wa kujenga kiwanda cha magari pale Kibaha na tayari hatua za awali zilishanza nadhani ni suala la wahusika kuresume mpango ule.

Ongeeni na Jack afanye mpango.
 
Basi wakati sisi tunanunua VW kutoka Rwanda, Tanzania itawauzia Rwanda gari zetu zile Nyumbu!!

..Tz tunaweza kuwauzia Rwanda matrekta yanayounganishwa ktk kiwanda kilichoko Kibaha.
 
Angalia "upeo" wa wateuliwa wa rais kuanzia maDED wa juzi alafu ujiulize tena swali lako!!
Hapa kwetu Tanzania adui yetu mkubwa ni CCM. Hao ni zao la hilo Dubwana linalojificha nyuma ya Katiba mbaya tuliyonayo.Nao wanafahamu fika hilo na ndiyo maana ukitaka kuona sura zao halisi watajie tu neno KATIBA MPYA.
 

..tunaweza kuwauzia kamusi wajifunze KISWAHILI.

..nakumbuka Magu alifanya ziara South Africa akaitangaza lugha yetu adhimu.
 
Mamaaaa kwani hatuwezi kuwashawishi investors waje kuwekeza Tz kiwanda cha ku assemble hayo magari? Uwezo tunao bwana why tupeleke pesa nje? Anyways wao yawezekana wanajua zaidi.๐Ÿšถ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Nani na kwa bei gani?

VW hakuna Mtanzania wa kawaida anataka hizo gari.

Hakuna soko la VW Tanzania zaidi ya maafisa wa JWTZ.
 
Safi sana. Hata mafuta ya petrol na diesel tununue huko maana ni bei nafuu kuliko huku bongo
Bingo ni shida sana sijui tunakwama wapi sisi ni wa kununua magari Rwanda kweli kanchi Kama wilaya ya kigambni
 
Huu Sasa usengehh mniwie radhi wakuu! Yaani hako ka kitongoji katuuzie magari na huyu Bibi kakubali badala na yeye atafute wawekezaji?

Ndiyo kufungua nchi Huku?
Huyu mama hakupaswa kuwa hata naibu waziri kabisa!
 
Nashauri pia ile tenda ya Kuanzisha kiwanda cha Simu hapa nchini ifutwe, tununue simu zinazotengenezwa Rwanda (MaraPhone). Huku ndio kufungua nchi. Mara Phones: Buy Online Africaโ€™s 1st Android Smartphone ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Ukiona simu za Rwanda bei juu basi sogea pale chini kidogo wanazo. Yaani Burundi nimeziona hapa hapa TZ zinafanyiwa promo. Sikuamini lakini ndiyo hivyo. Scania Kibaha ilitushinda. Baiskeli za itutu kigi sijui kama bado tunazo.
 
Huu Sasa usengehh mniwie radhi wakuu! Yaani hako ka kitongoji katuuzie magari na huyu Bibi kakubali badala na yeye atafute wawekezaji?

Ndiyo kufungua nchi Huku?
Huyu mama hakupaswa kuwa hata naibu waziri kabisa!

Ccm bana
 
Hu
Tatizo hatuoni the bigger picture hapa. Haya ni mambo ya aibu, sio ya kusema kwa nguvu. Inawezekana vipi nchi ambayo mwaka 1994 walichinjana kama kuku, leo tunaenda ku-import magari kutoka kwao!! That is my point, we should be ashamed of ourselves.
Huko kuchinjana labda ndio kumepelekea kuheshimiana kiongozi
Watu sasa wanafanya mambo ya maana kufanya mambo yatakayo pelekea 1994 hakuna anayetaka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ