Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, kuna gari used nyingi tu tunanunua kutoka Singapore ambayo inangia ndani ya Dar zaidi ya mara mbiliBingo ni shida sana sijui tunakwama wapi sisi ni wa kununua magari Rwanda kweli kanchi Kama wilaya ya kigambni
Wenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.Tatizo lilichangiwa pia na Nyerere, kina mwinyi na mkapa wamekuta nchi ipo hoi ndio mana yanatokea haya kwa mfano unaambiwa wakati wa Nyerere na mwinyi mwanzoni kununua gari ilikua mpaka kibali upate ikulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hii sijajua maana wakati huo nilikuwa naishi Congo lakini hata kama ilikua hivo hivo viwanda havikuwa na maana na ndio mana vilikufa sababu moja wapo ni kwamba huruhusiwi kununua gari mpaka upewe kibali na ikuluWenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.
Kile "chetu" cha Scania kimeishia wapi ? Kwa anaejua msaada tafadhali.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Scania Hata Mimi nakumbuka ila hayo mengine siijui Kwa kweli.Wenye kumbukumbu nzuri tusaidieni. Naelezwa kwamba miaka ya 70 mpaka 80 Tanzania ilikuwa inaunda magari aina ya Bedford, scania, isuzu na hata trekta. Ni kweli au porojo za watu tu kwenye kijiwe.
Elezea mkuu, kivipi ? Na hapo tulipokuwa hatupigwi Kwa lip? Nipe elimu zaidi.Udhaifu wa Serikali hii Itasababisha tupigwe sana. Na Ukizingatia Nchi zilizotuzunguka Zinajiamini Sana Sa hivi kutokana Na Utawala wa Hovyo wa Sasa.
Kwanini msinunue kutoka Kenya.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Magufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....Udhaifu wa Serikali hii Itasababisha tupigwe sana. Na Ukizingatia Nchi zilizotuzunguka Zinajiamini Sana Sa hivi kutokana Na Utawala wa Hovyo wa Sasa.
Tunatoa Pesa Zetu Tunapeleka Nje. Hatujaona Maelezo ya Sisi Kuwapeleka Bidhaa kwao. Sisi Tunapeleka Nn Rwanda Kama Tutaenda Nunua Magari KwaoElezea mkuu, kivipi ? Na hapo tulipokuwa hatupigwi Kwa lip? Nipe elimu zaidi.
Dah umenipa majonzi tena!!Tanzania ilipoteza Rais tarehe 17 march 2021
Wewe umenielewa Aisee. Utawala huu Umezifanya Nchi zinazotuzunguka Kutushika Makalio. Na Ukizingatia Aliyekuwepo Alikuwa Anawajua VizuriMagufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....
Hawa wapuuzi wa Rwanda na Kenya waliufyata. Kimyaaa kwa adabu!!
Sasa hivi wakiona shungi lile wanatudharauuuuu!!!!!
Tumekuwa dhaifu sana! Ghaflaaaa...
Kweli ilikua Ni sauti ya mamlaka Ni mwendo wa kuokota miili tu kwny viroba,teka Sana wakina MO.Magufuli alikuwa Rais na nusu asee.... hata akizungumza unasikia SAUTI YA MAMLAKA inatoka kwenye mimbari za kinywa chake....
Hawa wapuuzi wa Rwanda na Kenya waliufyata. Kimyaaa kwa adabu!!
Sasa hivi wakiona shungi lile wanatudharauuuuu!!!!!
Tumekuwa dhaifu sana! Ghaflaaaa...
Halafu Tanzania itaiuzia Rwanda yale matoroli ya Kitila Mkumbo!🤣🤣🤣Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW
Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.
Umeacha kuuza mirungi?Kweli ilikua Ni sauti ya mamlaka Ni mwendo wa kuokota miili tu kwny viroba,teka Sana wakina MO.
Bange Ni mbaya sana,Rwanda wanaimport bidhaa zenye thamani ya zaidi ya $500mil kutoka Tz kwa mwaka huku nasi tuki import vitu vyenye thamani ya zaidi $250mil kutoka Rwanda.Tunatoa Pesa Zetu Tunapeleka Nje. Hatujaona Maelezo ya Sisi Kuwapeleka Bidhaa kwao. Sisi Tunapeleka Nn Rwanda Kama Tutaenda Nunua Magari Kwao