Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

Hureeeeee Mungu mkubwa mnaopinga hamjui chochote kuhusu hii project mnaweka interest za wivu na chuki tu hii si project ya Samia au Jakaya
Wanaopinga ni sukuma gang
 
Mh.Spika Ndugai alisema kuwa "palikosekana taarifa sahihi" kupelekea mradi ule kuonekana kanjanja.

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
 
Mswahili wa Pwani atakula tu 30% yake.
 
Hapa ndo huwa nawaona wafuasi wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Topic kama hizi hawachangii kwa sababu wanaogopa wakichangia kusapoti mradi wa bagamoyo wataonekana wanamsapoti Samia na wakiupinga mradi wataonekana wanamkubali Magufuli...
Tanzania shamba la Bibi hakuna mwenye uchungu nayo. We kamata nofu jilie kwa Raha zako babu.
 
You should also go and rot, where you belong, just as your provincial mentor.
Leave smart projects for the smart minded and forward thinking fellas, not backward provincial twits as you pitiful lot.
Are you venomous creature ? Nearly heart attack just from reading your spit
 
Yule mpotoshaji alisemaje?
 
Yule alijenga kiwanja cha kimataifa kule bush Gbadolite.
Sasa kinatumika vizuri na wakulima kuanikia nafaka na nguo.
Kuna watu vichwa bado vya bush, hawaelewi kuwa Bandari Bafamoyi is good business hata kwa mtu aliye katika perimeter ya 50km.
true
 
Mnatuvuruga tu mara reli mara bwana la umeme mara bandari kuchezea pesa tu kila mtu anapiganiaradi wenye 10%yake
 
Hapa ndo huwa nawaona wafuasi wa CHADEMA ni WAPUMBAVU sana. Topic kama hizi hawachangii kwa sababu wanaogopa wakichangia kusapoti mradi wa bagamoyo wataonekana wanamsapoti Samia na wakiupinga mradi wataonekana wanamkubali Magufuli....
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Piiiigaaaaa baba. Wapumbavu si wakuwaonea huruma hata kidogo.
 
Mkataba utawekwa hadharani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…