Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ndiyo ujinga mkubwa wa watu waliozoea kuajiriwa kwa malipo duni, hawazioni fursa hata kwa kuonyeshwa wazi wazi.Hureeeeee Mungu mkubwa mnaopinga hamjui chochote kuhusu hii project mnaweka interest za wivu na chuki tu hii si project ya Samia au Jakaya
Wamerudi hao kazi inaendelea.Mnhhh.....
Kifo cha Magufuli kinaanza kufikirisha sasa.
Lohh!!
Hyo bandari ya bmoyo sio mradi wa gharama zetu.LNG na bandari ya Bagamoyo, huku bado kuna SGR, Nyerere dam, Kigongo Busisi yote miradi mikubwa ya gharama kubwa na bado haijamilika, hii haraka ya nini kama sio nao wanataka 10% zao?
Madhara ya mkataba yalishaelezwa, amahuo nimwingine tofauti na wa mwanzo? Chekecha ubongowako kidogo.Na wewe ponda baada ya kujua mkataba upoje. Msiwe mazuzu pia na nyie!
Kwani unaposikia waziri kapitia mkataba unadhani kausoma peke yake,wapo wasaidizi wake wataalamu wa kila nyanha na pia kumbuka yupo pia mwanashetia mkuu wa serikali kwa ujumla wao husoma na kutoa mapendekezo ambayo,hupelekwa kwa kamati ya makatibu wakuu ambapo yakipita ndio hupelekwa kwenye cabinetUsiwaamini hawa watu.
Sawa amezipitia, swali ni je, ana utaalamu wa mikataba na maswali mengine ya kitaalamu?
Kama ambavyo Mbowe sio gaidi, na sisi wananchi sio wajinga.
Maendeleo yake na familia yake na wana msoga line!Safiii Samia na Maendeleo
Samia hadi 2035
Ndo nyie ninaowasema humu kila siku kuwa hamna akili. Hizo gharama ni zetu tutakazolipia miaka 99 baada ya bandari kukamilika. Mchina hajawahi kumjengea mtu bure.
Muendelee hivyo hivyo kumshukuru mungu wakati bandari zote zikifa na kubakia magofu then bandari mpya ya bagamoyo ikihodhi mizigo yote kwa rates za ajabu!Sasa mwendazake yale maneno aliokuwa anadanganya Umma wa Watanzania aliyatoa wapi , kwa maelezo haya ya Mwambe naamini kwa asilimia mia 100 yule mzee hakuwa na nia ya dhati kutusaidia watanzania... Halafu anasema msema kweli mpenzi wa mungu... hakika tutaendelea kumshukuru mungu.
YES!.Mnhhh.....
Kifo cha Magufuli kinaanza kufikirisha sasa.
Lohh!!
Unazidi kuonyesha ujinga wako, tozo wanalipa CCM tu!?,wachina wakianza kurudisha gharama zao kwa miaka 99 watakuwa wanalipa CCM tu!?, chadema anayeishi nanjilinji na ikwiriri mkulima katiba mpya inamsaidia nini!?,endeleeni na upumbavu wenu mliolishwa na wanasiasa.We mtoto kuwa na Adabu. Tumekwisha waambia mara nyingi ccm ndio chanzo kikubwa cha umasikini tz lakini hamtaki kusikia. Mala ngapi tumesema mkataba hisisainiwe gizani na inatakiwa ijadiliwe na bunge? Maccm Pambaneni na hali yenu sisi sasahivi kipaumbele chetu ni Katiba mpya
Wameandika wapi bandari nyingine zitakufa, Hayati kawatia upofu watu wengi sana aisee. Inabidi itolewe elimu kubwa sana kwa Umma. Mtu alijenga uwanja wa ndege kijijinii kwake na bila bunge kupitisha sijui tulirogwa.Muendelee hivyo hivyo kumshukuru mungu wakati bandari zote zikifa na kubakia magofu then bandari mpya ya bagamoyo ikihodhi mizigo yote kwa rates za ajabu!
Ingekuwa hivyo wala tusingekuwa na matatizo yasiyoisha juu ya mkataba mibovu. Tatizo lililopo Rais akishamegewa fungu anatoa tu amli wapitishe tu huwa mkataba. Ukileta ujuaji unatumbuliwa. Na kama unavyojua tatizo kubwa la wa bongo ni njaa kaliKwani unaposikia waziri kapitia mkataba unadhani kausoma peke yake,wapo wasaidizi wake wataalamu wa kila nyanha na pia kumbuka yupo pia mwanashetia mkuu wa serikali kwa ujumla wao husoma na kutoa mapendekezo ambayo,hupelekwa kwa kamati ya makatibu wakuu ambapo yakipita ndio hupelekwa kwenye cabinet
Sasa mkataba unasema kudhoofisha bandari zinginezo kwa kipindi yenyewe ikianza kazi! Unategemea nini kama meli zote kubwa zitapitia Bagamoyo port!?Wameandika wapi bandari nyingine zitakufa, Hayati kawatia upofu watu wengi sana aisee. Inabidi itolewe elimu kubwa sana kwa Umma. Mtu alijenga uwanja wa ndege kijijinii kwake na bila bunge kupitisha sijui tulirogwa.
Unawatafuta TISS wawaombe FBI kwa msaada..Huyo mama akithubutu kufanya hivyo tutampiga risasi hadharani au kujilipua naye na alivyo na kifua kikubwa mbona atalipuka kwa kishindo😂😂😂😂
Mitambo ya LNG haijengwi kwa hela zenu, bali za wawekezaji wenye hiyo gasLNG na bandari ya Bagamoyo, huku bado kuna SGR, Nyerere dam, Kigongo Busisi yote miradi mikubwa ya gharama kubwa na bado haijamilika, hii haraka ya nini kama sio nao wanataka 10% zao?
Tatizo mnapiga tu kelele kama vyura bwawani ili hali hamna uwezo wa kuizuiya serikali kuutekeleza mradi huo.Mradi utafanyika iwe mnapenda au mnachukia.Unazidi kuonyesha ujinga wako, tozo wanalipa CCM tu!?,wachina wakianza kurudisha gharama zao kwa miaka 99 watakuwa wanalipa CCM tu!?, chadema anayeishi nanjilinji na ikwiriri mkulima katiba mpya inamsaidia nini!?,endeleeni na upumbavu wenu mliolishwa na wanasiasa.
Nafarijika sana naposikia maamuzi yenye tija kama haya yanafanyika. Bandari ya Bagamoyo ni mkombozi kwa ajira za vijana wetu wanaomaliza ngazi mbalimbali za elimu
Tatizo lenu hamtaki kuamini kwamba mwendazake aliwaaminisha vitu vingi sana vya uongo. Kuna tofauti kubwa tu baina ya Mkataba na Rasimu ya majadiliano. Kwa wanaojua majadiliano hawatashangaa Rasimu ya majadiliano.Kipindi fulani kwenye issue za negosition kama hizo unakuta timu kama wakina Dr. Chamuriho ambae aliongoza timu ya negosition mradi wa SGR, Ununuzi wa ndege pamoja Bwawa la Mwalimu Nyerere ila kwasasa anaonekana hafanyi kazi vizuri chini ya Rais Samia, pembeni ungemkuta Marehemu Mfugale, wingi ya kulia ungemkuta Engineer Kakoko then unakuta watu wa Tanroads, watu sheria, etc na ao wote walikuepo kwenye ile team ya mwendazaje iliyosema kwa masharti haya hapana kama vipi yakwetu ni haya hamtaki rudini mkajipange tena.
Lakini safari hii tarajia kukutana na wanasiasa na wanadriplomasia.
Sent using Jamii Forums mobile app