Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

what's England ba de way? tell me how many type of inter. Eng. jo know! To mention a few!!

Forget about. sub branches!!!
 
Eti Specuration [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni mkurya nini

It's Speculation wewe tabulasa why do you force writing language you are not capable with ?
like I told u dis is another level...
Did u'learn common mistakes on ya 0ld primitive syrrab! School In de bush?
 
what's England ba de way? tell me how many type of inter. Eng. jo know! To mention a few!!

Forget about. sub branches!!!
To whom should I waste my energy mention the languages I master ? You ? No noooo you neither deserve nor capable to know as per your level of understand is shallow and shakable!!


Did you attend writing and comprehension teaching at primary school ?

Why so many writing mistakes in your phrases you write ?
 
zao la HARAM ni HARAM toka mwanzo.
ametokana na wizi wa kura, usitegemee mungu asimame naye, never.
 
like I told u dis is another level...
Did u'learn common mistakes on ya 0ld primitive syrrab! School In de bush?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] School in De bush ?

What's that myfoler ??


Hahaha Just Hahaha
 
Alikuta hela nyingi uliziona au unasikiliza maneno ya kwenye kahawa?acheni propaganda za magufuli
 
Unaniuliza Mimi Hilo swali?
JPM ametekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani kutokana na makusanyo ya kodi, ni miradi michache tu ambayo alilazimika kukopa pesa lakini tuliona matokeo sahihi ya mikopo hiyo.

Kumbuka miradi Kama SGR, Bwawa la umeme na mradi wa barabara wa njia nane kutoka kimara hadi kibaha aliamua kuanza kujenga kwa fedha za ndani baada ya kukosa mkopo, na miradi mingine mingi alitumia hela za ndani.


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Nahisi amekuta nchi haina pesa sasa anafanyaje ili awezekuindesha inakua hakuna namnaa
 
Ubaya watanzania huwa hamsomi mnabaki kuokoteza taarifa za kwenye vijiwe ,

Kama hiyo miradi alikuwa anatumia pesa za ndani kwanini Deni la taifa katika awamu ya 5 lilipanda zaidi ya awamu zote ?

.........

Serikali ya Awamu ya Tano imefikisha Deni la Nje USD 22 bilioni ndani ya miaka 4 tangu iingie madarakani. Serikali ya Rais John Magufuli katika miaka 4 imeliingiza Taifa katika Deni la USD 7 bilioni sawasawa na Deni lote lililokopwa katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete

Deni lote la Taifa ( Ndani na Nje ) limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 43 mwaka 2015 Wakati Rais @MagufuliJP anaingia madarakani mpaka shilingi Trilioni 65 mwezi Julai 2019! Ongezeko la Deni kiasi cha shilingi Trilioni 22, sawa na kukopa 5.5tr/mwaka, 0.5tr/mwezi, 17bn/Siku
 
Point na ndio ukweli wenyewe.....
lkn kuna watu wana funza kichwani hawawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…