Waziri Nape: Natoa siku 7 waajiri kuwalipa Waandishi wa Habari waliofariki kwenye ajali. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu

Huyu waziri(Nape) Yuko Kasi sana,apunguze munkari.
Ni kawaida ya watu ambao wanafanya kazi bila njozi wala malengo. Tukio fulani kwao ni eneo la kupigia kiki pori. If does not show some sense and wisdom this time, hawezi kudumu hata miaka miwili.

Tasnia ya habari ina changamoto nyingi sana, na pia inamulikwa na kujimulika dei in and dei out.
 
Dereva nae vipi hakufariki?

Na serikali ameipa siku ngapi kulipa, au wamefariki waandishi tu
 
Hakuwa sahii kuna wateule wa Raisi wana wajibika kwa Rais mfano mkuu wa majeshi hawezi kumuundia tume ya kumchunguza mkuu wa Uhamiaji, mkuu wa magereza , ndiyo maana kuna matukio mengine raisi ana unda tume ya kuchunguza, we waziri una muundia tume mkuu wa mkoa kwa kifupi aliingilia majukumu ya Rais mkuu wa mkoa ni mteule wa Raisi na ana wajibika kwa Raisi .
Hao waandishi wa habari alikuwa anawatetea je wapo chini ya raisi?
 
Emotions zinasumbua viongozi wengi sana Africa
Ukisikia mihemuko ndo hii nape bado kichwani mafile hayajakaa vizuri.
Kwa hio leseni zikiwa mikononi mwake anaweza kuzifanya chochote kwa utashi wake labda?
Ana kurupuka sijui bado haja jifunza kwakilicho mpata kwenye awam ya 5 yakukurupuka kumuundia tume mteule wa Rais na kutoa hukumu

^POWER CORRUPTS, AND ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY!^
 
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kungana na RC Mwanza Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana

Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama kuna mwanahabari aliyefariki dunia kwenye ajali hii uwe umemlipa na taarifa za malipo yake yafikishe kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu.

Ni siku ngumu kidogo kwangu, ni shughuli yangu ya kwanza hadharani baada ya kuaminiwa kwenye dhamana hii, ni shughuli ngumu kwa sababu tumekuja kwenye jambo gumu ambalo ni pigo kwa tasnia yetu ya habari, kwa kanda ya Ziwa na nchi yetu

Tupitie ajali zote zilizohusisha wanahabari kwenye misafara, viongozi wangu wameniagiza tuwaombe wenzetu wa jeshi la polisi watuletee ripoti za ajali hizi tuone kwanini zinagusa wanahabari na tuchukue hatua ya kuwalinda

Pia soma > Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Dah asha Anza kutisha watu
 
STL hazina Bima
... nadhani hazina bima kwa maana ya kukatiwa bima na serikali ila serikali inawajibika gari yake inaposababisha ajali equivalently kama ambavyo bima ingewajibika (I am ready to be corrected). Otherwise, basi magari ya serikali ni silaha hatari sana za maangamizi nchini! Kwamba yanaweza kuuwa bila uajibikaji wowote upande wa serkali? I doubt.
 
^Do you know how we fought for this country?^~ Ilisika sauti moja ikisema!
... ha ha ha! They (their parents) fought for it but surprisingly "inaliwa na mbweha"; hakuna lolote hasira za kunyang'anywa tonge! Limerudi na kiburi hapo hapo!
 
Hao waandishi wa habari alikuwa anawatetea je wapo chini ya raisi?
Mfanyakaz wa serikal akifa Leo Una jua mpaka familia Yake ilipwe mafao yake ni baada ya siku ngapi? Sasa yeye ana kurupuka tu
 
Fact azifanani lazima awashughulikie bushmen walitutesa Sana zama za stone age
 
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ni miongoni mwa waliofika uwanja wa Nyamagana kungana na RC Mwanza Injinia Robert Gabriel na Waombolezaji wengine kuaga miili ya Waandishi 6 waliofariki kwenye ajali jana

Natoa siku saba kuanzia leo kwa waajiri wote, kama kuna mwanahabari aliyefariki dunia kwenye ajali hii uwe umemlipa na taarifa za malipo yake yafikishe kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza. Tambueni tu leseni zenu ziko kwangu.

Ni siku ngumu kidogo kwangu, ni shughuli yangu ya kwanza hadharani baada ya kuaminiwa kwenye dhamana hii, ni shughuli ngumu kwa sababu tumekuja kwenye jambo gumu ambalo ni pigo kwa tasnia yetu ya habari, kwa kanda ya Ziwa na nchi yetu

Tupitie ajali zote zilizohusisha wanahabari kwenye misafara, viongozi wangu wameniagiza tuwaombe wenzetu wa jeshi la polisi watuletee ripoti za ajali hizi tuone kwanini zinagusa wanahabari na tuchukue hatua ya kuwalinda

Pia soma > Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Ndani ya siku saba ?mbona siku chache sana .kauli ya kukurupuka
 
Wanaosema binadamu wote ni sawa ni waongo.......wamefariki watu 14 ila waandishi hao saba ndiyo wanaonekana ni binadamu zaidi......kwamba hao wengine saba familia zao hazitakiwi kufutwa machozi hata Kwa insuarensi za magari?
 
Tamko la kisiasa hili.. Tamko la kutaka sifa na makofi ya pongezi.
 
... ha ha ha! They (their parents) fought for it but surprisingly "inaliwa na mbweha"; hakuna lolote hasira za kunyang'anywa tonge! Limerudi na kiburi hapo hapo!
Really? Ile dhana ya Tanzania tuna kila kitu, imeishia kusikojulikana.
 
Wanaosema binadamu wote ni sawa ni waongo.......wamefariki watu 14 ila waandishi hao saba ndiyo wanaonekana ni binadamu zaidi......kwamba hao wengine saba familia zao hazitakiwi kufutwa machozi hata Kwa insuarensi za magari?
Wewe Madenge Jr kwani hujui kwamba Nape ni waziri wa habari, so lazima alitetee kundi lake? Hao wengine nao wana mtetezi wao, sawa?

Angewazungumzia wote, mngeuliza: Ametumia mamlaka gani?
 
Wanaosema binadamu wote ni sawa ni waongo.......wamefariki watu 14 ila waandishi hao saba ndiyo wanaonekana ni binadamu zaidi......kwamba hao wengine saba familia zao hazitakiwi kufutwa machozi hata Kwa insuarensi za magari?
... na uwanjani pale yameonekana majeneza ya waandishi tu! Ya wananchi hayakuwa na umuhimu pale! Ha haha; nacheka kwa huzuni!
 
Back
Top Bottom