Waziri Stergomena Tax ashiriki Ibada ya Pasaka Kigango cha Shishani Wilayani Magu

Sijajua lengo lako ni nini?
 
Huyu mama hawezi gombea ubunge!! Hata kutamka CCM oyee tu hawezi!! Katika mazingira ya sasa huyu mama hatoboi....

Maisha yake yote kazoea kubebwa beware sana na wenye maamuzi hasa kwa vileeee.... kajichokea sana huo uwaziri tu anabembelezwa tu....
Sie wakazi wa ndagalu na shishani tuko nae kwa huu umasikini tulio nao hapana kabisa, bwawa la mahaha tangu mjerumani alichimbe halijawahi karabatiwa, barabara ya magu ngulyati bariadi imekuwa kama uchochoro wa kuswagia ngombe, twanoga nose
 
Sasa mtoto mzuri kama Stregomena Tax anagombea maubunge ya nini? Miaka yote aliofanya kazi ajapiga hela za kutosha tu kujiwekeza? au anatafta kufa tu kifo cha ajabu ajabu.
Anatoa sadaka kwa wananchi kwa kilemungu kamjalia hana njaa huyu, kiswqga badala ya kuleta maendeleo yuko busy kujenga guest houses
 
Sie wakazi wa ndagalu na shishani tuko nae kwa huu umasikini tulio nao hapana kabisa, bwawa la mahaha tangu mjerumani alichimbe halijawahi karabatiwa, barabara ya magu ngulyati bariadi imekuwa kama uchochoro wa kuswagia ngombe, twanoga nose
Kwanini asiwasaidie?
 
Mama tumekuchukulia form ya ubunge, gashi uli wamkaya, yaani ndagalu nhaya shishani maligisu ni mama tu kila kona
Ongezea Nhobola, Jinjimili, Igombe, Nkungulu (kwetu), Kabale, Kipeja, Misungwi, Mahaha, Galamugi, n.k
 

..mbona umekuwa mkali?

..hebu toa elimu pale unapoona pana mapungufu.

..Nasimama na kauli yangu kwamba Dr.Tax amewazidi watangulizi wake kielimu, na kiuzoefu ndani na nje ya nchi.
 
Waziri Stergomena amechukua fursa hiyo kumshukuru Mungu kwa baraka anazoendelea kulipatia Taifa letu ikiwa ni pamoja Na mshikamano, amani, na maendelea katika sekta mbalimbali za m kijamii na kiuchumi.
Amani ipi wakati watu wanatiwa mahabusu kwasababu ya kula chakula halafu wanasingiziwa wamekula bangi
 
Amani ipi wakati watu wanatiwa mahabusu kwasababu ya kula chakula halafu wanasingiziwa wamekula bangi
Ukila chakula Mchana kipindi cha ramadhani,hakikupi nguvu za kumtumikia Mwenyezi Mungu na kumgeuka kuwa Bangi
 
..Dr.Stergomena ana PhD toka Japan.

..amefanya kazi serikalini na akapanda ngazi kama watumishi wengine, mpaka ikaonekana anafaa kuwa Katibu Mkuu wa Sadc.

..kusema kwamba amebebwa sio sahihi. Pia tusimhukumu kwa muonekano wake.
Anabebwa sana. Namjua huyu. Alisoma Uhazili Tabora halafu akajiunga na CDA kama katibu Muhtasi enzi za Samuel Sitta akiwa boss pale. Sitta ndiye aliyemuendeleza kimasomo kuanzia CBE, UDSM na Japan.

Hata kupata u Naibu Katibu Mkuu wakati wa JK mwaka 2005 hadi kuwa Katibu Mkuu ni Samuel Sitta maana ilikuwa ngoma yake. Kwenda SADC haikuwa Big deal
 

..Samuel Sitta ndio alikuwa akimfanyia mitihani?

..Mitihani CBE, UDSM, na Japan, kote huko amebebwa?

..kutoka CBE kwenda UDSM enzi hizo ilikuwa lazima upate 1st class.
 
Halafu the way anavyoandika sio yule Jokakuu anaekuaga na critical thinking kwenye some issues humu... anasifia PhD ya Japan hahaha, anakua kipofu zaidi na kusema ni msomi pekee aliyepita wizara ya ulinzi unamuuliza akina Prof Kapuya na Prof Sarungi walikua la 7 B?

Halafu humu watu hatuandiki tu kujifurahisha tuna info za kutosha. Mi sikutaka kuandika uliyoandika ili kumlindia heshima yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…