Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa 😁😁 kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono 🤣🤣🤣 ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyonia kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni 🤣🤣🤣🤣.. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
Uliingia Bondeni Hotel au Travertine hotel ? Alikupa sh.ngapi kibaharia?
 
hawa watu mbona hawaeleweki
wao si wanaupigia chapuo ushoga mpaka kwenye kwenye vilabu vyao vya mpira waziri wanamfukuza kwann sasa
Wanaeleweka sana tu, tatizo mnashindwa kuelewa lengo lao kuu ni kuiharibu Africa tusizaliane sana pia miongoni mwao ni mawakala wa shetani kuendeleza inshu zilizokatazwa na Mungu.

Pornography (video za X na picha za uchi ), muvi, tamthilia, mitandao ya simu kama Telegram, Instagram Facebook, Badoo, WhatsApp n.k hutumika vibaya sana kuchochea vijana wengi washawishike kutamani kufanya ufiraji/ufirwaji, usagaji, kujichua, kujamiiana kupitia dildos au Ke kujitomba kwa uume bandia.

Kijana mwenye hekima hatakiwi kabisa kuwa limbukeni wa hiyo mitandao la sivyo awe na nidhamu kubwa sana kutohemukwa na huo upumbavu napo ni vigumu sana.

Nina miaka 9 hadi sasa hivi natumia JF, Goal.Com, WhatsApp, Konde TV(football games) Google, YouTube na namshukuru sana Mungu nina mipaka ya matumizi nayo kwa vitu muhimu sana na sina Rafiki mzuri yeyote muhimu zaidi ya Mke wangu pekee.

Si kila kitu ni cha kuiga hapa duniani, ni heri upitwe na vingine uonekane mshamba kwa faida ya maisha yako we mwenyewe na familia yako ya sasa na baadaye.

KUPANGA NI KUCHAGUA NA MAISHA NI WEWE MWENYEWE.
 
No...nadhani mleta mada hujaelewa unalolizungumza...ni kwamba alipolewa alijaribu kumtongoza mwanaume mwenzake....
Hapo kuna starting point "POMBE"
huo u lesbian umemtafutia...
 
Hakuna utetezi wowote kwa kosa lolote kwa kigezo cha kunywa pombe na kulewa, soma vizuri sheria ili uongeze maarifa.

Vipi ikiwa Mtu flani alidhamiria kuua kisha akaenda kulewa ndipo akaua, napo utasingizia pombe?
 
Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa 😁😁 kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono 🤣🤣🤣 ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyonia kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni 🤣🤣🤣🤣.. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
Daah haya mambo mazito Sana
 
Hakuna utetezi wowote kwa kosa lolote kwa kigezo cha kunywa pombe na kulewa, soma vizuri sheria ili uongeze maarifa.

Vipi ikiwa Mtu flani alidhamiria kuua kisha akaenda kulewa ndipo akaua, napo utasingizia pombe?
Utetezi upo ila siyo bongo ndiyo maana umekariri
 
Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa 😁😁 kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono 🤣🤣🤣 ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyoniau kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni 🤣🤣🤣🤣.. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
Msalie mtumee....!!!
 
Back
Top Bottom