Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa [emoji16][emoji16] kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyonia kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
Mm nilichoelewa hapo wewe ndio umeliwa, au nasema uongo ndugu zangu?
 
Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa 😁😁 kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono 🤣🤣🤣 ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyonia kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni 🤣🤣🤣🤣.. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
So sad aisee, nadhani hao watu wa dizaini hio wako wengi sana aisee,kama huyu jamaa mwenye maduka ninaekwambia na yeye ana familia kabisa na mkewe hua anauza Kwny hayo maduka yao, lkn yule maza hanaga furaha kabisa pamoja na mandinga na majumba yote wanayomiliki.
 
So sad aisee, nadhani hao watu wa dizaini hio wako wengi sana aisee,kama huyu jamaa mwenye maduka ninaekwambia na yeye ana familia kabisa na mkewe hua anauza Kwny hayo maduka yao, lkn yule maza hanaga furaha kabisa pamoja na mandinga na majumba yote wanayomiliki.
Kuna imani pia za kishirikina sana kwa haya mambo kuna wengine walipigwa kipapai wakaanza gawa ndogo wengine wanataka utajiri wanatoa ndoa. Hatari sana
 
Kuna imani pia za kishirikina sana kwa haya mambo kuna wengine walipigwa kipapai wakaanza gawa ndogo wengine wanataka utajiri wanatoa ndoa. Hatari sana
Naona kwa Arusha na Kilimanjaro,vijana wadogo wadogo wa kiume wanapigwa sana pumbuh kwa kutaka urahisi wa Maisha,na kwa watu wazima wengi Ni kwasababu za masharti ya waganga(kibiashara).
 
Wenye kuelewa tuliona hatari kuu kwa dunia baada ya kuona mashoga wanashika madaraka ya kisiasa nchi za magharibi. Mabasha na wasenge wako kwa wingi wakiongoza serikali za nchi za magharibi.
najiulizaga kama mtu yupo timamu , ushoga wake unampunguzia nn kweny ufanis wa kuiongoza jamii ?
 
Wanaeleweka sana tu, tatizo mnashindwa kuelewa lengo lao kuu ni kuiharibu Africa tusizaliane sana pia miongoni mwao ni mawakala wa shetani kuendeleza inshu zilizokatazwa na Mungu.

Pornography (video za X na picha za uchi ), muvi, tamthilia, mitandao ya simu kama Telegram, Instagram Facebook, Badoo, WhatsApp n.k hutumika vibaya sana kuchochea vijana wengi washawishike kutamani kufanya ufiraji/ufirwaji, usagaji, kujichua, kujamiiana kupitia dildos au Ke kujitomba kwa uume bandia.

Kijana mwenye hekima hatakiwi kabisa kuwa limbukeni wa hiyo mitandao la sivyo awe na nidhamu kubwa sana kutohemukwa na huo upumbavu napo ni vigumu sana.

Nina miaka 9 hadi sasa hivi natumia JF, Goal.Com, WhatsApp, Konde TV(football games) Google, YouTube na namshukuru sana Mungu nina mipaka ya matumizi nayo kwa vitu muhimu sana na sina Rafiki mzuri yeyote muhimu zaidi ya Mke wangu pekee.

Si kila kitu ni cha kuiga hapa duniani, ni heri upitwe na vingine uonekane mshamba kwa faida ya maisha yako we mwenyewe na familia yako ya sasa na baadaye.

KUPANGA NI KUCHAGUA NA MAISHA NI WEWE MWENYEWE.
Ila hivi vitu ni vigumu sana kuepuka bruh hasa kwa teens mpaka waje kupata uelewa mtu kashapata madhara ndio maana nchi nyingine kwa kujua hivi wanazuia tu hakuna kuonekana moja kwa moja na wana mitandao yao
 
Back
Top Bottom