Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Naona kwa Arusha na Kilimanjaro,vijana wadogo wadogo wa kiume wanapigwa sana pumbuh kwa kutaka urahisi wa Maisha,na kwa watu wazima wengi Ni kwasababu za masharti ya waganga(kibiashara).
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
 
Mbona bongo kuna wabunge na mawaziri wengi mashoga?
Tatizo la huyo jamaa siyo kuwa shoga, mwanzisha thread kashindwa kuelezea. Tatizo ni namna anavyo-approach wenzake. Ni kama unavyosikia mwanaume kafukuzwa kazi kwa sababu ya kuwasumbua kina mama. BTW watanzania wengi hawajui hata kuwa ''basha'' ni ushoga. Wao wanadhani kile kitendo cha kuwa ''bwabwa'' au ''choko'' tu ndiyo ushoga.
 
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
Wewe siku si nyingi unaweza kuwa shoga kwa sababu unaamini kabisa ushoga unaongeza chances za kufanikiwa. Hiyo ni imani yako tu na inaweza kuja kukufanya ukatenda mambo ya kishoga.
 
Uko sahihi Mkuu kuna vitu nimeanza Kunotice Nyuma na mpaka sasa naona kama nataka confirm na hiyo research yangu, Watu wenye mafanikio na Wenye mauza uza kwenye biashara zao nyingi lazima ukute Shoga
Endelea kufanya uchunguzi mkuu ukipita conclusion share na sisi.

Yaani kwa pande hizo,matajiri wanafanya Sana hizo mambo mkuu.
 
So sad aisee, nadhani hao watu wa dizaini hio wako wengi sana aisee,kama huyu jamaa mwenye maduka ninaekwambia na yeye ana familia kabisa na mkewe hua anauza Kwny hayo maduka yao, lkn yule maza hanaga furaha kabisa pamoja na mandinga na majumba yote wanayomiliki.
Inaezekana anajua kuwa munewe wanampakua kisamvu na ndio chanzo cha utajiri wao
 
Nakumbuka 2013 hapa hapa JF, kuna mtu kanifata PM kajieleza in positive way, aliniambia ni afisa TRA piga piga stor tukawa kama washakaji, siku kaniomba tuonane..

Kaniambia tukutane magomeni pale kwenye ile hotel ipo road ( ya ghorofa) jina limetoka, ulikuwa msimu wa ligi ya uingeleza.

Nikasema powa naenda pale ananiambia nipo room najiandaa andaa nishuke kama hutojali panda juu, ( 2013 - ushoga haikuwa sanaaa) mie kujiamini nikapanda, namkuta jamaa ana midevu kajaa [emoji16][emoji16] kipande cha mtu kama Rick Ross ( moyoni nikasema kama mtu mmbaya ndio nimeisha leo) kavaa kataulo.

Kanikaribisha story hapa na hapa, jamaa naona anatoa mafuta na condom ana tune on channel ya ngono [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ( moyoni nikasema ohooo jamaa anataka nini nikakaa kwa hesabu za kujihami) akaweka kitandani akajieleza ( alinipa short story).. Anataka nimfire atanipa hela yoyote, mshikaji alikuwa yuko powa alikuwa anaishi upanga na anafamilia yake, kipindi hicho na mie nimeajiriwa hela hadi mwisho wa mwezi.. Nikasema ebu tusubiri kwanza nione kama naweza, huku natetemeka.

Badae likaja anza shika pipe, linaniambia mbona unatetemeka ( jitu linatisha kwanza) jamaa alivyo ona naogopa sana, akaniomba iwe siri yangu na yake, akaniruhusu kuondoka akanipa na hela.. nilipotoka nilibadirisha line ya simu, change id yangu ya jf. hela yake aliyonia kama ilikuwa na baraa tupu ilienda yote kuishia meridian pale kinondoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Tokea hapo JF nina ishi kwa machale sana
We sema ulimla kiboga
 
Umeelewa kwa usahihi kabisa, Huyu kilichomponza ni harassment, Amemfanyia mwenzie harassment na pengine huyo mtongozwaji amejisikia kudhalilishwa ndio maana hatua zimechukuliwa kwa mhusika. Hawa jamaa hawawezi kumuachisha mtu kazi kwa kua ni shoga.
Tatizo la huyo jamaa siyo kuwa shoga, mwanzisha thread kashindwa kuelezea. Tatizo ni namna anavyo-approach wenzake. Ni kama unavyosikia mwanaume kafukuzwa kazi kwa sababu ya kuwasumbua kina mama. BTW watanzania wengi hawajui hata kuwa ''basha'' ni ushoga. Wao wanadhani kile kitendo cha kuwa ''bwabwa'' au ''choko'' tu ndiyo ushoga.
 
Umeelewa kwa usahihi kabisa, Huyu kilichomponza ni harassment, Amemfanyia mwenzie harassment na pengine huyo mtongozwaji amejisikia kudhalilishwa ndio maana hatua zimechukuliwa kwa mhusika. Hawa jamaa hawawezi kumuachisha mtu kazi kwa kua ni shoga.
Huku waliomfukuza Kazi wakisema sababu Ni amefanya 'Gross Misconduct'.
 
basi hilo jamaa litapata soko si kawaida
 
Back
Top Bottom