Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

Mm nilichoelewa hapo wewe ndio umeliwa, au nasema uongo ndugu zangu?
 
So sad aisee, nadhani hao watu wa dizaini hio wako wengi sana aisee,kama huyu jamaa mwenye maduka ninaekwambia na yeye ana familia kabisa na mkewe hua anauza Kwny hayo maduka yao, lkn yule maza hanaga furaha kabisa pamoja na mandinga na majumba yote wanayomiliki.
 
Kuna imani pia za kishirikina sana kwa haya mambo kuna wengine walipigwa kipapai wakaanza gawa ndogo wengine wanataka utajiri wanatoa ndoa. Hatari sana
 
Kuna imani pia za kishirikina sana kwa haya mambo kuna wengine walipigwa kipapai wakaanza gawa ndogo wengine wanataka utajiri wanatoa ndoa. Hatari sana
Naona kwa Arusha na Kilimanjaro,vijana wadogo wadogo wa kiume wanapigwa sana pumbuh kwa kutaka urahisi wa Maisha,na kwa watu wazima wengi Ni kwasababu za masharti ya waganga(kibiashara).
 
Wenye kuelewa tuliona hatari kuu kwa dunia baada ya kuona mashoga wanashika madaraka ya kisiasa nchi za magharibi. Mabasha na wasenge wako kwa wingi wakiongoza serikali za nchi za magharibi.
najiulizaga kama mtu yupo timamu , ushoga wake unampunguzia nn kweny ufanis wa kuiongoza jamii ?
 
Ila hivi vitu ni vigumu sana kuepuka bruh hasa kwa teens mpaka waje kupata uelewa mtu kashapata madhara ndio maana nchi nyingine kwa kujua hivi wanazuia tu hakuna kuonekana moja kwa moja na wana mitandao yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…